Ku-renew leseni ya udereva

Ku-renew leseni ya udereva

thegreatchief

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
62
Reaction score
68
Habari za wakati huu wana jamii forum?
Leo nimekuja na swali ambalo nina uhakika nitapata usaidizi kutoka kwa wahusika au wazoefu wa hiki ninachotaka kuuliza.

Ni zaidi kama miaka miwili leseni yangu ya udereva ilipotea na muda wake ulikua unaisha mwaka huo. Bahati mbaya sikupata nafasi ya kwenda ku-renew maana nilikua nina kibadua ambacho hakihitaji leseni kea wakati huo ilipokua inaisha muda wake.

Hivi sasa nina uhitaji wa leseni hivyo nilikua nataka kujua kama nitaweza ku-renew qu nianze process za kuomba upya. Na kama itatakiwa ku-renew, je watahitaji cheti cha udereva au itakuaje?? Na gharama zake zipote kwa sasa

TIN namba ninayo.
Natanguliza shukrani kwa watakaonisaidia kupata mwanga wa nini cha kufanya
 
mbona ni rahisi sana kufyatuliwa leseni nyingine na vishoka mradi tu isiwe C kavu
 
kama unaikumbuka namba, mtoe trafic mkono mmoja au miwili......unaipata vema tuu...kama hukumbuki pia njia ni hiyo hiyo...
 
Kihalali kabisa kwa mujibu wa kitengo cha traffic pale pembeni ya waterfront, ikipita miaka 2 tangu imalize muda wake, unaanza upya kuomba.
 
Habari za wakati huu wana jamii forum?
Leo nimekuja na swali ambalo nina uhakika nitapata usaidizi kutoka kwa wahusika au wazoefu wa hiki ninachotaka kuuliza.

Ni zaidi kama miaka miwili leseni yangu ya udereva ilipotea na muda wake ulikua unaisha mwaka huo. Bahati mbaya sikupata nafasi ya kwenda ku-renew maana nilikua nina kibadua ambacho hakihitaji leseni kea wakati huo ilipokua inaisha muda wake.

Hivi sasa nina uhitaji wa leseni hivyo nilikua nataka kujua kama nitaweza ku-renew qu nianze process za kuomba upya. Na kama itatakiwa ku-renew, je watahitaji cheti cha udereva au itakuaje?? Na gharama zake zipote kwa sasa

TIN namba ninayo.
Natanguliza shukrani kwa watakaonisaidia kupata mwanga wa nini cha kufanya
Hakuna haja ya kwenda Trafiki,nenda TRA waambie unataka kuhuisha Leseni,utaolewa fomu ya kujaza ukimaliza utapewa namba ya malipo utaenda kulipia. 70k
 
Kihalali kabisa kwa mujibu wa kitengo cha traffic pale pembeni ya waterfront, ikipita miaka 2 tangu imalize muda wake, unaanza upya kuomba.
Mkuu sio kweri
 
Hakuna haja ya kwenda Trafiki,nenda TRA waambie unataka kuhuisha Leseni,utaolewa fomu ya kujaza ukimaliza utapewa namba ya malipo utaenda kulipia. 70k
sasa hivi ukihuisha inadumu kwa muda gani kabla ya ku renew mkuu
 
Hakuna haja ya kwenda Trafiki,nenda TRA waambie unataka kuhuisha Leseni,utaolewa fomu ya kujaza ukimaliza utapewa namba ya malipo utaenda kulipia. 70k
Ni lazima apite traffic kwanza. Mfumo wa TRA hautaruhusu process kuendelea bila ya kupitishwa na traffic kwenye mfumo.

Ndicho nilichoelewa nilipoenda kurenew mwezi wa Feb 2021.
 
Mkuu sio kweri
Hapo ndio kwenye shida, ukishasema "sio kweli" inatosha kabisa kuwa ndio ukweli wenyewe? Nimetoa maelezo na rejea yake, kama nimedanganywa, ukweli ni upi?
 
Yote hayo yanafanyika hapo TRA, Hao traffic wanakuwepo hapo hapo. Kwa lugha nyingine ni one stop center
Basi inategemea na mkoa. Kwa mfano mkoa niliorenew leseni, TRA wamo kwenye jengo lao na Traffic inabidi uwafuate kwenye jengo lao.
 
Ni lazima apite traffic kwanza. Mfumo wa TRA hautaruhusu process kuendelea bila ya kupitishwa na traffic kwenye mfumo.

Ndicho nilichoelewa nilipoenda kurenew mwezi wa Feb 2021.
atapita traffic ikiwa anaupdate na kuongeza daraja ila kama kuupdate tu, anajaza fomu then analipia 70k after 24hours anapata leseni yake.
 
tafuta vishoka mkuu dakika sifuri unapata leseni yako huwa wana landa landa maeneo ya ofisi za TRA
 
Back
Top Bottom