Ku "like"............

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
722
Napata kigugumizi inapofikia ku"like" posts. Hii "Like" mwenzenu!!!!!Ni afadhali hata enzi za "Thanks".
Mtu unaanzaje ku "like" ugonjwa, maafa/msiba - mwenzio kafiliwa na mpendwa wake, au kaachika au kaumizwa,kaibiwa, ..wewe una like maana yake nini hasa? "Thanks" ingefaa zaidi maana unashukuru kwa taarifa.Sasa ku"like"...ina maanisha umependa nini?
 
Mbona mlinichunia jamani?Au ninakosea kuuliza?Nasubiri jibu kwa heshima na taadhima.
 
Umenena vema Tausi, thanks ni nzuri zaidi.

Modereta tunaomba mliangalie hili kwa mara ingine kama vipi turudishieni thanks manake ilikuwepo mpaka via mobile.
 
Napata kigugumizi inapofikia ku"like" posts. Hii "Like" mwenzenu!!!!!Ni afadhali hata enzi za "Thanks".
Mtu unaanzaje ku "like" ugonjwa, maafa/msiba - mwenzio kafiliwa na mpendwa wake, au kaachika au kaumizwa,kaibiwa, ..wewe una like maana yake nini hasa? "Thanks" ingefaa zaidi maana unashukuru kwa taarifa.Sasa ku"like"...ina maanisha umependa nini?
i "like" you for this post.
 
Unapolike mchango wa mwanachama mmoja, na kutolike wa mwengine, kwangu naona ni ubaguzi.
Michango yote mtu akitoa ni mzuri kwake na ameona hivo.
Ukilike au kutolike haimuongezei kitu.
 
Back
Top Bottom