kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
Kudownload miziki au chochote kupitia safari au any browser..
Kutuma files kupitia email..
Ku download video za youtube..
Bluetooth sharing..
Niki download miziki through i downloader iende kwenye music moja kwa moja,na pia idownloader hai pakui miziki from mkito..
Kutumia simu yangu kama kifaa cha kuhamishia files..
Kuingiza files kutoka kwenye pc bila kutumia itunes(huu ni upuuzi ambao sijaona 7bu ya aple kuuweka)...
Kubadili fonts..
Kufunga app flani kwa password..
Haikubali ku download vitu zaid ya mb100 kwa mobile data..(kituko hiki,au na hii wanaifanya kwasababu za kibiashara na kama ndio,biashara gani hiyo.?)
Delivery report,video call bila wifi..
pole mkuu...watumiaji wengi wa iPhone ni wanatumia kama sifa tu hasa madem..vinginevyo wewe usiwe mtu wa mambo mengi..lakin ukitaka mbwembwe zetu zile basi android ndo mahala pake..tena ukishatia Custom rom zako kari za akna Cyanogen na apps za wabishi kama chainfire ,Osama ghareb na osm droid basi android ni nyumbani kwa yote haya.Pia kwenye smartphone kuna user tofaut tofaut hvyo ukibishana na mtumiaji ambae hata rooting au jailbreak haijui utakua unapoteza mda.