Kitendo cha kufall In love au hiki kinachoitwa kama sijui Mapenzi kati ya watu wawili kimebuniwa na Binadamu na SIYO cha Asili!
Kwenye asili kabisa ya Binadamu hakuna kitu kama kufall In love, na hili utaliona kwenye jamii ambazo bado zinaishi Maisha ya UJIMA kama Wamasai, Wakenya na wengineo hawana haya mambo ya Kufall in love...
Kwa mfano mimi mpaka leo siamini kama Babu yangu alifall in love au alikuwa na mapenzi na Bibi yangu, kama vile mimi leo hii nilivyo na haya yanayoitwa Mapenzi na mwenzi wangu, nafikiri walikuwa wanaishi tu na kutimiza lengo la Maisha hapa Duniani yaani kuishi na kuzaliana...
Huu utafiti nimeufanya kibinafsi kwenye hizi Jamii za Kijima nilizoziorodhesha hapo juu, hawa watu kwa mfano hawana Wivu kabisa, yaani kwa mfano Mmasai akikukuta na mke wake yeye anakusubiri mpaka umalize halafu na yeye anaendelea yaani SIYO ishu, sasa kama kweli MAPENZI ni asili ya Binadamu kwa nini Wakenya au Wamasai hawana Wivu?
Wakenya mgeni unaruhusiwa na Mume kulala na Mke wake, sasa kama kweli Mapenzi ni kitu cha ASILI ni kwa nini basi Binadamu wote tusiwe na Wivu kama tulivyo Tanzania kwa Mfano?