Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

Vilaza wengi tu wanabeba huku vitu vizima vizima na kuhamisha, bila aibu wanajifanya wao ndio wametoa hayo mawazo wanakera sana aisee
 
Hapa sijaona kama amecopy style yako ...mi naona amecopy ujumbe mzima mzima na amepaste.
Ningekuwa mm ningejiproud walau kuna mtu anazipenda jumbe zangu na kuzishare kwa wengine.
 
Be proud. You inspire the guy.
That some inspiration indeed. Strutting naked in the dark😀😀😀.
Ili ajiridhishe kama kweli anakopia aandike baada ya kutoka nje uchi alikuatana na popobawa, tuone kama na wa twitter nae atajumuisha hiyo ya kupopobaliwa.
 
Mtoa mada ni mfano harisi wa mtu anayetumia kichwa kama kifurushi cha maji
 
Mtoa mada ni mfano harisi wa mtu anayetumia kichwa kama kifurushi cha maji
Sawa. Kwahiyo umetoka huko long way kuja kuangalia kilichofanywa na maji?
 
Duh usicomplicate maisha sana, usijekufa kabla ya siku zako sababu ya mambo madogo, sawa akicopy hivo na kupaste nini kinapungua kwako?au dushe lako linaondoka?😀
 
Duh usicomplicate maisha sana, usijekufa kabla ya siku zako sababu ya mambo madogo, sawa akicopy hivo na kupaste nini kinapungua kwako?au dushe lako linaondoka? [emoji3]

[emoji44][emoji44][emoji44]Siamini macho yangu, wewe ndio wa kuniongelea haya!! Hebu andika tena nipate uhakika isijekuwa account yako walii hack!
 
Wewe mwenyewe emoji umezikopi, hujazitengeneza wewe...!!! Ahahahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…