Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,579
Nimekwambia akili kichwani ticha akili kichwaniHivi mkuu upo serious kabisa na hii statement yako👇na bado unaitetea, kwa kui relate 👆 na statement ambayo inajieleza kabisa...
Yaani Mfano Ameomba Dar, akiona inasoma Dar amekosa, akiona morogoro amepata..?
Sijakuelewa au unawapanikisha Maticha?