hii fafanua kivipi yaani ?.Waliotemwa inasoma Mkoa walioomba ambao hawajatemwa haisomi Mkoa ulioomba akili kichwani mwako
hii fafanua kivipi yaani ?.Waliotemwa inasoma Mkoa walioomba ambao hawajatemwa haisomi Mkoa ulioomba akili kichwani mwako
Acha kuwadanganya walimu wetu,Waliotemwa inasoma Mkoa walioomba ambao hawajatemwa haisomi Mkoa ulioomba akili kichwani mwako
Tumeshapata ufafanuzi. Huu hapaWadau, nimeona kwenye account ya ajira portal kwenye maombi ya ualimu nimewekewa mikoa alafu nimeandikiwa confirm employer, lakini ni mikoa ambayo mimi sikuomba. Je naweza nikabadilisha!!??
Tulia Wewe mwanafunziAcha kuwadanganya walimu wetu,
Bora Mimi nimeamua kua Zero Minus 10Kama hii ya confirm employer inawatoa jasho, je huko mbeleni hali itakuwaje ?
Jibu hilihii fafanua kivipi yaani ?.
Hapo Hakuna ujumbe kuwa kama mkoa unasoma huohuo ulioomba basi means UMETEMWA
Some hii hapo walipokoleza Mwalimu mgumu kuelewaHapo Hakuna ujumbe kuwa kama mkoa unasoma huohuo ulioomba basi means UMETEMWA
Ww ndio utafute taarifa ya ukweli na sio kusubiri watu humuAksante, wadau kujeni mlio na uhakika wa mambo ili tupate msaada
Kama ww nae n mwalimu bc ukipata kazi aisee wanafunzi kazi wanayoThey have written, confirm employer and not the region where you can easily attend an interview.
Unaelewa kiswahili kweli ?Some hii hapo walipokoleza Mwalimu mgumu kuelewaView attachment 3095664
Hivi mkuu upo serious kabisa na hii statement yako👇na bado unaitetea, kwa kui relate 👆 na statement ambayo inajieleza kabisa...Tulia Wewe mwanafunziView attachment 3095659
Yaani Mfano Ameomba Dar, akiona inasoma Dar amekosa, akiona morogoro amepata..?Waliotemwa inasoma Mkoa walioomba ambao hawajatemwa haisomi Mkoa ulioomba akili kichwani mwako
Jamaa anashangaza sana huyo.Hivi mkuu upo serious kabisa na hii statement yako👇 bado unaitetea.
Yaani Ameomba Dar, akiona inasoma Dar amekosa, akiona morogoro amepata..?
Sijakuelewa unawapanikisha Maticha?
Ujue mi nimeshangaa nikajua ni utani au atarekebisha,Jamaa anashangaza sana huyo.
ufafanuzi tafadhari.
Thibitisha mwajiri wako sio thibitisha sehemu rahisi ya kufanyia usaili!Chagua mkoa wwte tu ambao wew utakuwa rahisi kwenda kufanya usaili,sio lzm iwe ile ya mwanzo uloomba