mimi ni mtaalamu wa mambo hayo ,lakini sijamuelewa maana yake au shida yake.nyie mliomjibu someni kwanza alichoandika,mukielewe then mumpe jawabu.yeye anasema anefunga Ku band mbele ya C band na anatumia mediacom 930+.sasa nyie hapo mnamuelewaje?mimi namuomba afafanue maelezo yake na shida yake vizuri ili tumsaidie
kama umeiweka vizuri hapo waeza pata channel za kenya,.satellite nss 12 @ 57'E,au kama huioni hiyo satellite,chagua satellite yeyote ya Ku,kisha ingiza freq 11026 pol H symbrate 9693,kila la kheri kaka
Nadhani kwa kuusaidi bofya hapa kupata frequency kwa jinsi nilivyokuelewa.
skuhiz imebaki chnl moja tu ya K24
zingne ni kbc na Family tv signal zipo ila hakuna kinachotokea [ni kwa freq hizo alizokupa jamaa] kama lnb unazo 3
kwenye antena setting weka lnb 3, kama mbili weka 2
mbona ameeleweka , C band ya local channel maana yake ni intelsat 906 Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat na ku band inayoenda nayo hapo ni ile zamani inaitwa pass 7/10 ikabadilishwa jina ikaitwa intelsat 7/10 na hivi karibuni ishabadilishwwa inaitwa intelsat 20 hapo kuna free to air channel nyingi kama una k band. anza na frequency 11170 v kuelekea chini. Intelsat 20 at 68.5°E - LyngSatmimi ni mtaalamu wa mambo hayo ,lakini sijamuelewa maana yake au shida yake.nyie mliomjibu someni kwanza alichoandika,mukielewe then mumpe jawabu.yeye anasema anefunga Ku band mbele ya C band na anatumia mediacom 930+.sasa nyie hapo mnamuelewaje?mimi namuomba afafanue maelezo yake na shida yake vizuri ili tumsaidie