Ku activate window

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wakuu habari za muda huu
nina shida mwenye ujuzi naomba anisaidie,nime upgrade window yangu,sasa kwenye kuwasha cp inaniletea kiujumbe kama hiki
This copy of windows must be activated with microsoft before you can log on. Alafu ndio inaniuliza
Do you want to activate windows nw?
Kuna yes na no,ukibonyeza yes ina kuambia uiconect kwenye net,na hakuna icon yeyote inayoonekana,sasa nitafanyaje ili iweze kudect kwenye modem,ili nipate net?
Au kuna njia nyingine naweza kufanya?
 
Sijakuelewa kabisa. Kwanza ume upgrade au umefanya fresh install? Ni Windows ipi hiyo? Kama ume upgrade I am sure drivers za network adapters bado zitakuwepo. Kwani mwanzo ulikuwa una connect vipi kwenye internet? Kama vipi reinstall the moderm driver.
 
mkuu nashndwa hata kukuelezea,na ku connect nilikuwa natumia simu kama modem,sasa sijui niiformat yote?
 
mkuu nashndwa hata kukuelezea,na ku connect nilikuwa natumia simu kama modem,sasa sijui niiformat yote?

Kama huwezi hata kuelezea itakuwa ngumu kusaidiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom