Ku _update samsung galaxy through kies

Ku _update samsung galaxy through kies

dendizzo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
966
Reaction score
1,345
Hello wadau, kwa kutumia kies kwenye pc naona simu ina new firmware update. Sasa nauliza km naweza kutumia hiyo simu kama wifi hotspot ya pc at the same time niwe na_update simu. Je inawezekana?
 
Sina uhakika kama itawezekana cuz kuna jamaa yng aliiua simu yake kwa ku-update
Kwa kutumia kies..kwnn usitumie Odin(manual)
 
Sina uhakika kama itawezekana cuz kuna jamaa yng aliiua simu yake kwa ku-update
Kwa kutumia kies..kwnn usitumie Odin(manual)

Dah basi sawa ngoja nitafuatilia uzi wa odin then ntajaribu ku update. Tenx
 
usitumie odin kama hujui simu utaikosa sasa hv.

kwa usalama zaidi tumia 3g modem ila sioni tatizo ukitumia hotspot ya simu sababu file litadownloadiwa kwanza likishakaa kwenye computer ndio process ya kuflash itaanza.

ni update gani unaeka na ni simu gan?
 
ImageUploadedByJamiiForums1385750829.702747.jpg
Nmejaribu kuweka photo pia simu ni galaxy s advance
 
upgrade tu.

sema ungejaribu kuangalia online review za wenzako walivyo upgrade simu zao ikawaje.

sometime version za mbele zinakua mbovu mpaka unajuta kwa nini uli update

Ok ahsante sana chief.
 
Back
Top Bottom