Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,306
35,852
Urusi ameshatangaza sasa tusubiri kama NATO wataingiza vikosi vyao Ukraine kama walivyosema.

BREAKING:

Russia will go to war with NATO if troops are deployed to Ukraine, says the Kremlin.

IMG_20240227_193845.jpg
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
 
Uchumi wa Russia ni 1.8 trillion usd GDP, uchumi wa NATO ni zaidi ya trillion 45 usd GDP. Mambo mengine ni kufurahisha baraza tu
Uchumi kwa uhalisia unaupimaje mkuu? Au ndio kwa hii GDP. Mwanzo wa vita ilisemwa hivi lkn madhara ya vita yameathiriwenye uchumi mkubwa kuliko Russia.

Wakati Tz inatajwa kuingia uchumi wa kati. Kuna watu walikiwa wanakufa njaa na wengine kufukuzwa shule kwa ukosefu wa ada.

Hii GDP ni uchimi wa kwenye makaratasi sio halisi. PERIOD
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu

Hapo kwenye “mweye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu” ndio umeboronga.
 
Putin ni muoga Sana kuhusiana na jeshi la NATO na ndio maana anajitahidi Sana kuhakikisha hawasogei karibu yake zaidi
 
Kuingia vita na NATO hata yeye hawezi kupona, amekula ameshiba, vita ya Nuclear haina mshindi si yeye si NATO wote watatekeleza vibaya, miji yao kama Moskow, London, Paris, Berlin, St Petersburg itaharibika na kubaki majivu matupu, mwenye uwezo wa kumshinda Rusia ni USA tu
Unamsifia sana USA. Na kama unasema USA anaweza mpiga RUSSIA na yumo ndani ya NATO kwa nini NATO wasiweze kumpiga Russia?

Amini nakwambia Hakuna taifa lolote ndani ya NATO linaweza kushinda vita dhidi ya Russia. Hata wakiungana as NATO hawawezi.

Kwanza hiyo NATO yao ilianzishwa baada ya kutambua RUSSIA kawazidi na hawamuwezi.

Kwenye vita vya movie uwenda ndo NATO watashinda na propaganda
 
Back
Top Bottom