Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,263
- 2,143
Safar nyingi ndo chanzo cha mapato mengi kwa kenya kwenye shirika lao ndo kama hivyo kinacho waua ndo hicho ila sidhani kama safar za ATCL ni nyingi kuliko za KQHivi muhimu ni safari nyingi au ni kupata pesa nyingi?. Kenya inapata watalii wengi kuliko Tanzania, lakini Tanzania inapata pesa Mara mbili zaidi kutokana na utalii zaidi ya Kenya.