Tetesi: KQ yaongeza Hasara mara mbili hadi Ksh 7.5b kutoka billioni 4 mwaka jana๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

unajua upeo wa mtu hupimwa na vitu vingi sana
sasa kama mnabeba abiria wote hao why mnapata harasa mwaka wa sababu mfululizo na shirika limepunguza wafanyakazi wengi tuu na bado linapumilia mashine. hiyo 1.2 unayo ongelea imeisaidia nini KQ na projection yao ilikuwa ngapi.
Afu naomba kujua kwani KQ wana ndege ngapi ambazo wao wanazimiliki ila usihesabu zile walizokodi.
Kq wanamiliki ndege 3 tu zingine zote ni leased deal
 
huyo ni ndovu anayetembelea mguu mmoja, kilema.

unaongelea jina au ndege maana unajisifia ujinga kuwa na gharama za matengenezo coz ndege zenu ni za kukodi pia simpya, fuel cost kuwa ndogo ni kwa sababu tunatumia akili kubwa kununua ndege zenye low fuel consumption.
kwenye hizo ndege naweza sema kq hamba ndege hata moja coz hata hiyo 787 mliyonunua bado mnadaiwa so mkizingua wanachukua ndege yao
 
Did you know, loss making KQ still carries over 4 million passengers per year.
How many thousands does ATCL carry?
Kubeba abiria sio hoja ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† hapa tunaangalia where is the profit?? Inamaana munabeba abiria bure na munaingizia nchi hasara ya mabilioni ya pesa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Note:
Every businessman is a profit motivated
 
KQ made an operation profit in 2017 and 2018.
It is suffering only because of past management errors. Kulipa madeni za kitambo.

How much operation profit did ATCL make last year?
 
KQ made an operation profit in 2017 and 2018.
It is suffering only because of past management errors. Kulipa madeni za kitambo.

How much operation profit did ATCL make last year?
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† hvi wewe unaongea nn
 
Back
Top Bottom