Kozi zenye manufaa kwa sasa mi zipi??

Kozi zenye manufaa kwa sasa mi zipi??

🤣🤣🤣unasomea ajira au utaalamu?
Udaktari, ardhi,uinjinia hizo hazidanganyi
Uwe vizuri kichwani lakin🤣
Sio usome klf au hgl afu utake kuwa injinia au daktari kisa inalipa
Kozi za vilaza aka magwini hazina maslah sikuhizi
 
Maisha hayana FORMULA. sio kila utakachosomea ndio utaajiriwa nacho.

Maisha yanataka mtu wa kujiongeza na mtu ambae ni MULTI SKILLED.

Mie nikikwambia kada niliyosoma na niliyoajiriwa nayo na ninachokitumia kupata mkate wa ziada ni MBINGU na Ardhi.
 
Mapambo,utume na unabii,uganga,kutengeneza kucha wadada,utazikimbia pesa
 
Back
Top Bottom