Joachim Mabula
Member
- Mar 12, 2009
- 87
- 109
Kozi za Vyuo Vikuu Zilizo Idhinishwa na TCU na NACTE 2017/2018 ziko www.tcu.go.tz, kama kozi haimo kwenye orodha hiyo basi ujue haitambuliki Usiiombe.
Dr document imekuwa corruptedKozi za Vyuo Vikuu Zilizo Idhinishwa na TCU na NACTE 2017/2018 ziko www.tcu.go.tz, kama kozi haimo kwenye orodha hiyo basi ujue haitambuliki Usiiombe.
Mkuu kwa nini unafikiria document imekuwa corrupted?
Ni tofauti
Mkuu kwa nini unafikiria document imekuwa corrupted?
Dah..pole ungesoma usingeuliza swali la kitoto iv