Z zebigmaster Member Dec 22, 2015 39 17 May 13, 2017 #1 Wadau vigezo vya kupata kozi za certifcate ya IT vipoje?
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Dec 22, 2013 4,137 3,323 May 13, 2017 #2 Nafikir inabidi uwe umefaulu somo la hesabu, ndo kigezo kikubwa