kipande cha mtu
Member
- Sep 26, 2015
- 50
- 2
Hivi Muhimbili medical lab, clinical officer na nursing mbona haziko NACTE.Uzi huu ni kwa wale wote ambao wamefanya application kwenye kozi zote za Afya kuna mengi ya kushauriana,maswali juu ya kozi husika,na maswali juu ya vyuo husika..!!
karibuni sana kwenye mwaka wa masomo 2016/2017
Hivi Muhimbili medical lab, clinical officer na nursing mbona haziko NACTE.
Pili kozi za LUGALO MILITARY MEDICAL SCHOOL wanafunzi kutoka shule za wananchi wanaruhusiwa au ni wale wenye military background
Mimi ni mwlm wa level ya degree nafikilia kuomba certifcate ya medicine, Je kunauwezekano wa kusoma hyo coz nikiwa nyumba (kam day school) maana kwenda kukaa boarding nivigumu kwangu(siwez kupata ruhusa kazini)
Pia naomba kujuzwa certificate ni program ya miaka mingapi?
Matokeo yangu ya kidato cha4 ni chem D, phy C, math B, bios D, engl D, kisw C, geog D, civcs C, hist F.
Advance PCM, phy E math E chem S
Karibuni kwa ushauri........
Ok, thank youmuhimbili hamna clinical officer,
Jamani vipi kwa aliye fanya necta zaidi ya mara moja, awezaje kutumia matokeo yoteukweli ni kwamba una matokeo mazuri sana ya kuweza kusoma ila badluck masomo ya jioni hayapo
certificate miaka miwili.. na vigezo ni d tatu za phy,che,bios...
Kama mtu olevel hukusoma physics lakin una BIOS na chem unaweza kuapply na je ni course gan unaweza kuomba.
Na pili nmesikia ukitaka kuomba vyuo vya afya vya serikali ni kwa wale waliomaliz 2008 na kuendelea Kama kinyume na hapo unatakiwa uapply private je ni kweli??? Naomben majibu ya kujitosheleza.
Je mwenye certificate akienda kusoma diploma atasoma miaka mingapi?
mkuu,kwa sasa sector ya afya kuanzia ngazi ya cheti mpaka diploma wanatoa kwa njia ya e-learning programs (distances learning)hasa kwa inservice (kwa wake waliopo makazini).ukweli ni kwamba una matokeo mazuri sana ya kuweza kusoma ila badluck masomo ya jioni hayapo
Amepata;mkuu,kwa sasa sector ya afya kuanzia ngazi ya cheti mpaka diploma wanatoa kwa njia ya e-learning programs (distances learning)hasa kwa inservice (kwa wake waliopo makazini).
Utaitwa chuoni kwa ajili ya facetoface na clinical area rotation nayo inaweza kukuchukua mwezi mzima au zaidi ukiwa chuoni hii kwa sababu course za afya zinahitaji mazoezi yakutosha pia wakati WA mitihani utaitwa before one or two week kwa maandalizi zaidi..
Pia utakapokuwa nyumbani utatafuta mentor kwenye hospital ya wilaya kwa ajili ya kukusupervise ukiwa clinical area pia walimu wanaweza Kuja kukusupervise pengne Mara moja kwa mwezi kujua maendeleo yako
Hawezi,wahurumieni wagonjwa jamanAmepata;
C-biology
C-geography
D-chemistry
F-physics
F-b/mathematics
C-english
Anaweza kusoma clinical officer?.