M Mollyraine Member Joined May 24, 2019 Posts 6 Reaction score 2 May 25, 2019 #1 Naomba ushauri wenu Kati ya ardhi na sheria ni sector gani yenye ajira na kitengo kipi Cha ardhi chenye ajira. Please naomba ushauri wenu[emoji120][emoji120]
Naomba ushauri wenu Kati ya ardhi na sheria ni sector gani yenye ajira na kitengo kipi Cha ardhi chenye ajira. Please naomba ushauri wenu[emoji120][emoji120]
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,607 Reaction score 36,504 May 25, 2019 #2 soma unachokipenda... mambo ya ajira siku hizi hayaeleweki... hata ukikosa ajira hutaumia sana kama umesoma unachopenda... kuliko usome husichokipenda kisha ukose ajira
soma unachokipenda... mambo ya ajira siku hizi hayaeleweki... hata ukikosa ajira hutaumia sana kama umesoma unachopenda... kuliko usome husichokipenda kisha ukose ajira
M Mollyraine Member Joined May 24, 2019 Posts 6 Reaction score 2 May 25, 2019 Thread starter #3 FRESHMAN said: soma unachokipenda... mambo ya ajira siku hizi hayaeleweki... hata ukikosa ajira hutaumia sana kama umesoma unachopenda... kuliko usome husichokipenda kisha ukose ajira Click to expand... Ok, Asante [emoji120]
FRESHMAN said: soma unachokipenda... mambo ya ajira siku hizi hayaeleweki... hata ukikosa ajira hutaumia sana kama umesoma unachopenda... kuliko usome husichokipenda kisha ukose ajira Click to expand... Ok, Asante [emoji120]
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,813 Reaction score 2,053 May 26, 2019 #4 Ajira zipo kotekote tu hapo. Ila kwa ardhi huenda ukapata ajira mapema zaidi.