Kozi ya uthibiti ubora shuleni

Kozi ya uthibiti ubora shuleni

Juma Majani

New Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Naomba kujua diploma ya uthibiti ubora shuleni inayotolewa na chuo cha Adem inakuwezesha kusoma degree yoyote hapa nchini maana nasikia tetesi kuwa haiwezeshi kusoma degree msaada tafadhali kwa anayelitambua hili
 
Huwezi soma chochote ndugu,ADEM NI HASARA TU HAPO UKISOMA UMEIBIWA PESA NA MUDA NA AKILI INAKUA IMESHACHAFULIWA KWA TAALUMA AMBAYO HAINA FUTURE.
 
Tunao watu wamesoma hapo diploma ya usimamiz na udhibiti ila mpaka kesho ni walimu wa msingi na hakuna la maana lolote,ukiwauliza hawataki hata kusikia habari za ADEM.
 
Kozi ya D.S.I inatambulika na unaweza kusoma degree corse ila kozi yaDIPLOMA IN SCHOOL MENEGMENT
( DEMA )

ndio haitambuliki ukiisoma haiwezi kubadilishiwa muundo wa kitumishi kwa sababu haina masomo ya kufundishia ndani yake .... Huu ndio ukweli

sent from toyota Allex
 
Huwezi soma chochote ndugu,ADEM NI HASARA TU HAPO UKISOMA UMEIBIWA PESA NA MUDA NA AKILI INAKUA IMESHACHAFULIWA KWA TAALUMA AMBAYO HAINA FUTURE.
Mkuu ulishawahi kusoma Adem

sent from toyota Allex
 
Mkuu ulishawahi kusoma Adem

sent from toyota Allex
Shusha nondo maana usingetokea kuja kuonyesha unachokifahamu kuhusu adem thanks alots but bado naendelea kuhitaji ufafanuzi zaid kuhusu kozi ya DIPLOMA IN SCHOOL MANAGEMENT.
 
Naomba kujua diploma ya uthibiti ubora shuleni inayotolewa na chuo cha Adem inakuwezesha kusoma degree yoyote hapa nchini maana nasikia tetesi kuwa haiwezeshi kusoma degree msaada tafadhali kwa anayelitambua hili

I THINK IZI COZ NIZAKUMWONGEZEA MTU SIFA TUU,, OTHERWISE NO COMPATIBLE COURSE ADMISSION....FOR MORE INFORMATION REVIEW TCU GUIDING BOOK.....KWA USHAURI JARIBU KUCHAGUA COZ NJINGINE YENYE UAKIKA WAKUJIENDELEZA NA DEGREE
 
Sio kweli KOZI YA D.S.I INATAMBULIKA KITAIFA NA KIMATAIFA NA UKISOMA UNABADILISHIWA MUUNDO WA KIUTUMISHI...NA INATOLEWA MAIN CAMPUS BAGAMOYO PEKE YAKE !!

sent from toyota Allex

COZ INAYO TOLEWA NA CHUOKIMOJA NIHATARI SANA.... pia wanatoa kwa waali ili waweze kufanya ukaguz wa ubora wa elimu ''school inspectus'' is just like seiners course, or workshop like
 
COZ INAYO TOLEWA NA CHUOKIMOJA NIHATARI SANA.... pia wanatoa kwa waali ili waweze kufanya ukaguz wa ubora wa elimu ''school inspectus'' is just like seiners course, or workshop like
Haya ni mawazo yako kozi ya D.S.I inatolewa chuo kimoja kwa sababu ya unyeti wake ...kwa taifa ..na anayetoa kozi hiyo ni wakala wa elimu Tanzani

Na inahusu walimu waliofanya kazi kwenye vituo vyao kwa muda usiopungua miaka mitano

Wanapika watu mahili wa aina moja sio rangi rangi km ilivuo leo waliomaliza educatio udom, na waliomaliza sauti ...kwenye soko la ajira wanathamani tofauti

Wakala wa elimu kaliona hilo ndio maana wamependekeza ipaki katika chuo kimoja tu kwa nchi nzima

Fresh from school haiwahusu na hawaruhusiwi kuisoma

sent from toyota Allex
 
Mwisho mkuu kama unayaka kwenda ni pm nikutumie prospectous uisome ya ADEM

sent from toyota Allex
 
Haya ni mawazo yako kozi ya D.S.I inatolewa chuo kimoja kwa sababu ya unyeti wake ...kwa taifa ..na anayetoa kozi hiyo ni wakala wa elimu Tanzani

Na inahusu walimu waliofanya kazi kwenye vituo vyao kwa muda usiopungua miaka mitano

Wanapika watu mahili wa aina moja sio rangi rangi km ilivuo leo waliomaliza educatio udom, na waliomaliza sauti ...kwenye soko la ajira wanathamani tofauti

Wakala wa elimu kaliona hilo ndio maana wamependekeza ipaki katika chuo kimoja tu kwa nchi nzima

Fresh from school haiwahusu na hawaruhusiwi kuisoma

sent from toyota Allex
Hii course ni ya muhimu,ni vile wanaoijadili hawailewewi.Ni inservice course kwa wanaohitaji nafasi hiyo ya school inspectorate.
Ingekuwa sponsored na mwajiri ingevutia sana kuisoma.Hata hivyo Bagamoyo ni pazuri kwenda kurefresh kwa miaka miwili na utoke na kaujuzi.
 
Huo ndio ukweli mkuu,

sent from toyota Allex
 
Haya ni mawazo yako kozi ya D.S.I inatolewa chuo kimoja kwa sababu ya unyeti wake ...kwa taifa ..na anayetoa kozi hiyo ni wakala wa elimu Tanzani

ADEM NAIFAHAMU SANAA ZAID YA UNAVYO IJUA WEWE , COZ ZOTE MNAZOFUNDISHWA NAZIJUA NA KWANINI WANAENDA KUSOMA PRIMARY TEACHERS ? PIA WHAT DO YOU THINK MAKE ADEM SO SPECIAL KAMA UNAVYO DAI?" SIWEZI KUI CATEGORIZE COZ WANAZO TOA ADEM KAMA ZINA KIZI KU AWARD DIPLOMA!
kama ni inspection Mbona ata police wanapiga? some time serikali iwe makini eti wazibiti ubora wakaguzi wa ubora wa elimu ni watu wenye div 4 wanakagua alafu utegemee kupata div 1 ? a miracle ! this is dangerous.. pia naipongeza sana serikali kwa mabadiliko walio fanya kwakuongeza ufaulu kwa wanao endakusomea uwalim , coz sector ya elimu ni ubongo wa nchi
 
Umesoma prospecutus mkuu.....au unaongea tu ADEMU ANAYEPASWA KUSOMA NI MWALIMU YOYOTE WA MSINGI AU SECONDARY ILI MRADI AWE NA VIGEZO VINAVYOHITAJIKA

ACHA KUPOTOSHA USIONGEE USICHOKIJUA WALA KUKIFANYIA UTAFITI

sent from toyota Allex
 
APA ATUPOTOSHANI , ILA TUNAELEWESHANA! NA NDO MAANA YA HI FORUM LAZIMA UTETE HOJA YAKO, KWA POINT ZINAZOWEZA KUTUSHAWISHII,

NITAJIE KOZ AMBAYO A DEM ANAEZA KUSOMA DEGREE....
 
D.S.I (DIPLOMER IN SCHOOL INSPECTION)

sent from toyota Allex
 
Soma hapa
Screenshot_20200306-092119.jpeg

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom