Mudhyd JF-Expert Member Jul 17, 2013 492 507 Jan 7, 2017 #3 Hii kali, ila kuna watu wanalenga kama gololi vile na hakosei mpaka haja ndogo!!!!!
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,793 Jan 7, 2017 #4 Unahitaji kutumia hiki kifaa, kinaitwa kilengesheo au funnel...
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,648 18,732 Jan 7, 2017 #5 Halafu jamaa yupo mjini kakiacha kijijini yupo mjini anazungusha raundi za bia
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 Jan 7, 2017 Thread starter #6 Kodofan said: View attachment 455648 Unahitaji kutumia hiki kifaa, kinaitwa kilengesheo au funnel... Click to expand... Haloooo mweh yaani umenifurahisha mno
Kodofan said: View attachment 455648 Unahitaji kutumia hiki kifaa, kinaitwa kilengesheo au funnel... Click to expand... Haloooo mweh yaani umenifurahisha mno
Mudhyd JF-Expert Member Jul 17, 2013 492 507 Jan 7, 2017 #7 Kodofan said: View attachment 455648 Unahitaji kutumia hiki kifaa, kinaitwa kilengesheo au funnel... Click to expand... Nimecheka sana!!!
Kodofan said: View attachment 455648 Unahitaji kutumia hiki kifaa, kinaitwa kilengesheo au funnel... Click to expand... Nimecheka sana!!!
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 40,772 99,360 Jan 7, 2017 #9 mattargsm said: Nidhamu nidhamu nidhamu muhimu Sana Click to expand... Nini mbaya mkuu...
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,063 6,405 Jan 8, 2017 #10 Duh, hapo unaposhusha mzigo unatakiwa kuwa makini kama vile unapopitisha uzi kwenye sindano ya kushonea..
Duh, hapo unaposhusha mzigo unatakiwa kuwa makini kama vile unapopitisha uzi kwenye sindano ya kushonea..