Kozi ya Secretarial Studies haijakaa kiume.

Udochi

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
761
1,007
Waheshimiwa, mdogo wangu wa kiume amepangiwa kusoma Diploma in Secretarial Studies katika Chuo cha Utumishi wa Umma.

Sasa hii fani naona kama imeegemea upande wa wanawake sana,
Maana'ke sijawahi kuwaona mesekretari wa kiume huko ofisini.

Hii kozi inamfaa mtoto wa kiume kweli hii?
Nipeni uzoefu wenu katika hili waungwana.
 
Back
Top Bottom