M mzl Senior Member Joined Oct 20, 2016 Posts 182 Reaction score 122 Oct 5, 2018 #1 poeni na kazi wakuu,samahani naomba kupewa ufafanuzi juu ya hii kozi ya raging management, kuna mdogo wangu kachaguliwa kwenda kuisoma sua
poeni na kazi wakuu,samahani naomba kupewa ufafanuzi juu ya hii kozi ya raging management, kuna mdogo wangu kachaguliwa kwenda kuisoma sua
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,688 Reaction score 2,982 Oct 5, 2018 #2 Sijawahi isikia. Huyo mdogo wako amechaguliwa kuisoma aú yeye ndo aliiomba? Muulize atakuwa anaijua
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,373 Reaction score 4,141 Oct 6, 2018 #3 Inahusu usimamizi na uhifadhi wa malisho ya mifugo. Jitathmini ufanye maamuzi mapema
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,894 Reaction score 82,575 Oct 6, 2018 #4 Range Management na sio "raging management" Dogo langu pia kachaguliwa hapo SUA kusoma hicho kitu.
Mr. Django JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 1,830 Reaction score 2,434 Oct 6, 2018 #5 Mwambie SUA hatuna "kozi" inayoitwa Raging management, labda kama ni Range Management. Mwambie akaribie ajifunze u-bwana pori
Mwambie SUA hatuna "kozi" inayoitwa Raging management, labda kama ni Range Management. Mwambie akaribie ajifunze u-bwana pori