Radio Producer JF-Expert Member Joined Feb 4, 2011 Posts 728 Reaction score 322 Apr 25, 2011 #1 Wasalaamu, Naomba kujuzwa wanaJF, ni wapi wanafundisha kozi ya kuongea na kuandika lugha ya kichina?? 1. Iwe Dodoma, 2. Iwe kozi ya jioni 3. Ada iwekwe wazi Mtu binafsi wa kufundisha anaruhusiwa Asanteni
Wasalaamu, Naomba kujuzwa wanaJF, ni wapi wanafundisha kozi ya kuongea na kuandika lugha ya kichina?? 1. Iwe Dodoma, 2. Iwe kozi ya jioni 3. Ada iwekwe wazi Mtu binafsi wa kufundisha anaruhusiwa Asanteni