Ni moja kati ya kozi nyepesi ngazi ya degree pili degree ya usimamuzi rasilimali watu nikuulize tu utai apply wapi unapoamua kujifanyia shughuri zako.. Jibu ni ngumu
Ushauri kama unataka ufanye shughuri zako mwenyewe soma business administration utapata elim kuhusu biashara...marketing and public relation. Mass communication utafanya kwenye private institutions...diploma za afya au degree zake utafungua ata maduka ya madawa ata ualimu soma utajiajiri mwenyewe siyo hyo yako
Muhusika ni wewe mwenyewe, acha kuzunguka zunguka binti, kwani ukisema ukweli utaota mkia?Kuna
Thanks for your opinion.
Yani kuna ndugu ang amemaliza six amepata chuo cha mzumbe mbeya kozi ya human resource management kwasababu alikua nakosa vyuo kila round afu she got division 1.kwahiyo watu wanamwambia there is no job nowadays kwahiyo kwa umri wake afu hata chuo ajaanza akawa shocked mara anakua na mawazo sana. So nikamwambia let me ask huku jf then ntamwambia..
Kwani HRM huwezi kufanya kwenye private institutions?Ni moja kati ya kozi nyepesi ngazi ya degree pili degree ya usimamuzi rasilimali watu nikuulize tu utai apply wapi unapoamua kujifanyia shughuri zako.. Jibu ni ngumu
Ushauri kama unataka ufanye shughuri zako mwenyewe soma business administration utapata elim kuhusu biashara...marketing and public relation. Mass communication utafanya kwenye private institutions...diploma za afya au degree zake utafungua ata maduka ya madawa ata ualimu soma utajiajiri mwenyewe siyo hyo yako
habari zenu.
guys am starting with apologize.Nilikua nataka kujua koziya human resources unaweza kujiajiri?If yes,How? I need some explaination about ugumu wa kozi hiyo and urahisi wake pia.And kama pia unajua chuo ambacho wako vizuri kwa hiyo kozi.
Thanks in advance.
Muhusika ni wewe mwenyewe, acha kuzunguka zunguka binti, kwani ukisema ukweli utaota mkia?
Nenda kasome hiyo HRM, mzumbe ndo mabingwa wa HRM hapa Tanzania. Unaweza kuajiriwa kama HR officer serikalini au private sector.
Kuhusu kujiajiri, hakuna coz maalum ambayo mtu akiisoma basi ndo ataweza kujiari. Kujiajiri ni ujanja wako na mtaji wako tu ndiyo vitu muhimu.
Kuna watu wana elimu ya darasa la saba tu na wamejiajiri kwenye kilimo, ufugaji na wengine kwenye biashara, wanapiga pesa za maana na wamewaajiri wasomi wenye degrees.
Soma kile ukipendacho, kujiajiri hakujalishi una elimu gani. Wasalimie Mzumbe!
Thanks bro.
i appreciate maneno ako. In fact Nasoma BBA this time naingia second year apo mzumbe mbeya.But sijui chochote kuhusu BHRM yani tangu nikae chuo sijapata rafiki wa BHRM thats why nikaamua niulize huku. But apart from maneno yako i just like other side of your words ni nzuri.Thanks though[emoji39]
Kwakwel katika kozi ambayo haina manufaa kwa Sasa Moja wapo Ni hiyo.ina graduates wengi Sana mtaani na Ni ngumu kujiajiri nafuu hata sheria unaweza fungua kaofisi kakubangaiza[emoji29][emoji29]Kuna
Thanks for your opinion.
Yani kuna ndugu ang amemaliza six amepata chuo cha mzumbe mbeya kozi ya human resource management kwasababu alikua nakosa vyuo kila round afu she got division 1.kwahiyo watu wanamwambia there is no job nowadays kwahiyo kwa umri wake afu hata chuo ajaanza akawa shocked mara anakua na mawazo sana. So nikamwambia let me ask huku jf then ntamwambia..
Halafu umeenda kufungua uzi mwingine kuulizia tofauti ya Mzumbe ya Mbeya na Mzumbe ya Morogoro wkt ww mwenyewe uko mzumbe, unajiona mjanjaaaaa kuzungusha watu? unajizungusha mwenyewe, yaani unajitekenya nakucheka mwenyewe. acha UfalaThanks bro.
i appreciate maneno ako. In fact Nasoma BBA this time naingia second year apo mzumbe mbeya.But sijui chochote kuhusu BHRM yani tangu nikae chuo sijapata rafiki wa BHRM thats why nikaamua niulize huku. But apart from maneno yako i just like other side of your words ni nzuri.Thanks though😋
Halafu umeenda kufungua uzi mwingine kuulizia tofauti ya Mzumbe ya Mbeya na Mzumbe ya Morogoro wkt ww mwenyewe uko mzumbe, unajiona mjanjaaaaa kuzungusha watu? unajizungusha mwenyewe, yaani unajitekenya nakucheka mwenyewe. acha Ufala
habari zenu.
guys am starting with apologize.Nilikua nataka kujua koziya human resources unaweza kujiajiri?If yes,How? I need some explaination about ugumu wa kozi hiyo and urahisi wake pia.And kama pia unajua chuo ambacho wako vizuri kwa hiyo kozi.
Thanks in advance.
Kwani HRM huwezi kufanya kwenye private institutions?
Hivi wafanya biashara wote wamesoma business administration?? Unawaza soma degree ya business administration na ukashindwa kumiliki hata genge la kuuza dagaa, na mtu alosoma ICT, HRM, au mwenye elimu ya darasa la saba akawa mfanya biashara mkubwa tu.
Kuwa mfanya biashara hakujalishi una elimu gani!
Kwakwel katika kozi ambayo haina manufaa kwa Sasa Moja wapo Ni hiyo.ina graduates wengi Sana mtaani na Ni ngumu kujiajiri nafuu hata sheria unaweza fungua kaofisi kakubangaiza[emoji29][emoji29]
Thanks bro.
i appreciate maneno ako. In fact Nasoma BBA this time naingia second year apo mzumbe mbeya.But sijui chochote kuhusu BHRM yani tangu nikae chuo sijapata rafiki wa BHRM thats why nikaamua niulize huku. But apart from maneno yako i just like other side of your words ni nzuri.Thanks though😋
SHULE YA MENEJIMENT TANZANIA IKO MZUMBE. ACHA KUPOTOSHA. Sio kila kozi basi UDSM watakuwa bora, big No!.Bachelor of commerce in Human Resources ya udsm tu ndio nzuri , kwanza wanasoma masomo mengi sana yani na tulikua tunasoma nao hadi accounts , kama ana division one mwambie aombe transfer ahamie udsm , magoli sana pale mdogo wangu mi nimeshamaliza muda pale natamani hata nirudi tena nimemiss udbs yangu