Kozi ya Diploma in Clinical Officer

Kozi ya Diploma in Clinical Officer

Blessed Son

Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
34
Reaction score
23
Wakuu naomba kwa anayefahamu chuo cha "private" kinachotoa diploma ya clinical officer kwa gharama nafuu anijuze, nataka kuingia NACTE niapply!
 
Muda Wa Kujiunga Kutuma Maombi Umekwisha?
 
samahanini ndugu zangu,
Je Clinical Md inatofautiana nini na Clinical Officer?
 
mi naomba orodha ya hivo vyuo vya serikali msaada jaman
 
Jina la kozi hasa ni Clinical Medicine,ukishahitimu ndo unakuwa Clinical Officer
 
Vyuo vya private vinapatikana .
kama unahitaji nichek
 
Naomba list ya vyuo vya private na jinsi ya kupata form zao za kujiunga cc
 
Back
Top Bottom