KOZI YA DATABASE ADMINISTRATION PROFESSIONAL IKO VIPI KATIKA SOKO?

cilla

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
372
Reaction score
299
Habari wanaJf,Naomba kuuliza wataalam wa IT kuhusiana na hii kozi inayoitwa database administration professional,Je kozi hii ikoje katika soko la ajira/kujiajiri?Kwa kijana aliyemaliza kidato cha nne inaweza kuwa na manufaa kwake kulingana na soko lake?
 
Mzee hii course ni nzuri kama utaijua lakini. Issue sio kuingia Darasani issue ni kujua kucheza na mifumo nyuma ya pazia na kwenye interface.

Inatakiwa ujue sana Web technolgy, ujue Languages na uwe mtamu kwenye Networking ndio ufanye hii kazi.

Inahitaji effort nyingi sana kuijua hii fani na Mafunzo na experience

Back
Top Bottom