no huury
Member
- Oct 16, 2016
- 16
- 4
Habari za muda ndugu zangu! Kunakitu sijakifahamu bado, katika maswala yakazi ukimtaja daktari ama nesi ni watu wanao fahamika kwakazi zao ila mmi sijajua kuwa watu wale wanaosoma community health in watu watu wenye kuandaliwa kujakufanya kazi gani? Naomba kufahamisha kwasababu sifaham, kwawanaofaham nawaomba mnijuze.