Eginatus Deusidedit
Member
- Nov 26, 2016
- 6
- 0
Wadau,
Kwanza pole na kazi. Naombeni ushauri. Nataka nijiendeleze kimasomo kwa sasa nina Bachelor of Arts in Economics. Nichukue Masters ipi ambayo itaendana na kasi ya ajira kwa sasa? Nahisi kutaka kubadili kozi au kusoma diploma as an added advantage.
Naomben ushauri.