Kozi mpya NIT hazijulikani HESLB?

Kozi mpya NIT hazijulikani HESLB?

majina ya waliopata wote yapo kwa mfumo wa PDF tena alphabetically, chuo baada ya chuo na kozi zake, yaan fro University starts with A to Z.

Ni kwamba kwa mfano NIT hayo majina yamebandikwa chuoni??
 
majina ya waliopata wote yapo kwa mfumo wa PDF tena alphabetically, chuo baada ya chuo na kozi zake, yaan fro University starts with A to Z.

Maana kwenye website ya NIT majina mtandaoni hakuna majina ya waliopata loan hivyo ni wapi yamewekwa kujua coz hiyo haijapata mtu mwenye loan??
 
Nenda TCU,NACTE kuna box la maoni na malalamiko..sio unakuja Ku command watu wakujibu humu?????
 
Huu wizi sasa NIT nao wanakozi za education???ardhi za accounts??hii elimu ya bongo ndiyo maana imekosa thamani kabisa

kwani mtu akisomea education chuo cha usafirishaji haelewi au?! acha kukuriri maisha....
 
majina ya waliopata wote yapo kwa mfumo wa PDF tena alphabetically, chuo baada ya chuo na kozi zake, yaan fro University starts with A to Z.

hayo majina yapo wapi? chuoni au ni wapi?
 
Maana kwenye website ya NIT majina mtandaoni hakuna majina ya waliopata loan hivyo ni wapi yamewekwa kujua coz hiyo haijapata mtu mwenye loan??

kwenye website ya loan board
 
wale wenzangu wa BEMIT na kozi nyingine za NIT ambao hatujapata mkopo nimesikia kesho kuna uwezekano Wa 3rd lot Kutoka kwa hiyo tuombe Mungu Tufanikiwe!
 
wakuu angalieni heslb wametema third lot
 
natafuta chumba cha kupanga nje ya chuo cha NIT mwenye ufahamu juu ya ili tuwasiliane
0656539400
 
tafuta madalali wewe huku utapoteza muda tu na unavyochelew watu wanaongezeka utakosa
 
HATA MIMI NIMEKOSA TENA KWENYE HII THIRD LOT,
AS I SAID BEFORE,
course yetu ya BEMIT haifahamiki loan board, kama kuna mtu kwenye course hiyo kapata mkopo naomba atufahamishe.
Sasa nimechoka na application za vyuo na mkopo, mimi kuanzia sasa nimeamua kukubali kuisiki elimu ya chuo kikuu kwa wenzangu. Toka 2012/2013 mpaka leo 2015/2016 naapply nakosa sasa nimechoka.
Loan board hawako fair, acha elimu ya chuo kikuu niwaachie watoto wao na wengine wa vigogo. Sisi watoto wamasikini tufikiri jinsi gani ya kupora na kukwapua mikoba na simu za watu hapa mitaani.
 
You already do the best, God can do the rest ....... Kwani hii 3rd lot ndiyo ya mwisho?
 
Back
Top Bottom