Kozi mpya NIT hazijulikani HESLB?

Kozi mpya NIT hazijulikani HESLB?

Dozencut

Senior Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
159
Reaction score
38
Ndugu yangu alichaguliwa National Institute Of Transport,
Bachelor degree of education with Mathematics and information technology.
Hajapewa mkopo wala Hakuna aliyepata mkopo kwa course hizi mpya,

Naomba TCU,NACTE,HESLB NA NIT watupe majibu na muafaka wao hawa waliochaguliwa course hizo mpya ambazo inaonekana wazi HESLB haikupata majina yao.
 
Hii sio sehem sahihi ya ww kupata majibu ya swali lako thats why watu wamekaa kimya cha zaidi hapa utashauriwa tu nini cha kufanya
 
Halfu kozi nyingi za NIT zimepewa kipaumbele ila watu hawana mikopo hii ikoje sjui au kuna THIRD LOT
 
hata mimi nipo NIT hiyo faculty ya education ila hadi sasa cijapata mkopo wakuu...
 
Nimewapigia simu wamenijibu kuna majina wanaendelea kuyafanyia kazi yakiwemo ya hiyo kozi kwamba tuendelee kusubili watayatoa muda si mrefu
 
kuna mdogo wangu kapangiwa hapo NIT corse hiyo hyo ya Bemit kapata mkopo ila kwenye mkopo inamuonyesha BSE
 
Mm mwwnyew nipo NIT na mikopo kwa Hapo bado inaletwa kwa second lot kwakuwa ndo chuo kinategemea kupata asilimia kubwa ya mikopo kwa wanafunzi wake
 
Ndugu yangu alichaguliwa National Institute Of Transport,
Bachelor degree of education with Mathematics and information technology.
Hajapewa mkopo wala Hakuna aliyepata mkopo kwa course hizi mpya,

Naomba TCU,NACTE,HESLB NA NIT watupe majibu na muafaka wao hawa waliochaguliwa course hizo mpya ambazo inaonekana wazi HESLB haikupata majina yao.

hayo majina ya hiyo koz kujua kwamba wote hamkupata. Hayo majina mmeyaona wap mpaka mtu unakuwa na hakika koz hio mpya haina mtu aliyepata??
 
Nimewapigia simu wamenijibu kuna majina wanaendelea kuyafanyia kazi yakiwemo ya hiyo kozi kwamba tuendelee kusubili watayatoa muda si mrefu

umewapigia simu heslb au NIT?!
 
Mm mwwnyew nipo NIT na mikopo kwa Hapo bado inaletwa kwa second lot kwakuwa ndo chuo kinategemea kupata asilimia kubwa ya mikopo kwa wanafunzi wake

second lot si ndio hii imetolewa mkuu?!!!!
 
wakuu tukiona hali inazidi kuwa mbaya naona kuna haja ya kuwasilisha malalamiko yetu kwa uongozi wa chuo ili wawasiliane na bodi ya mikopo tusijekosa kabisa maana vyuo vingine hadi education za arts wamepata!
 
Huu wizi sasa NIT nao wanakozi za education???ardhi za accounts??hii elimu ya bongo ndiyo maana imekosa thamani kabisa
 
hayo majina ya hiyo koz kujua kwamba wote hamkupata. Hayo majina mmeyaona wap mpaka mtu unakuwa na hakika koz hio mpya haina mtu aliyepata??

majina ya waliopata wote yapo kwa mfumo wa PDF tena alphabetically, chuo baada ya chuo na kozi zake, yaan fro University starts with A to Z.
 
haiwez kufutwa wakati tayari chuo kimechagua watu na barua za udahili tumeshapewa

vip barua ya udahili ulitumiwa au uliifata chuo,?
Mkopo umepata kwa kozi hiyo ya BEMIT?
 
Back
Top Bottom