Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

donald james

Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
43
Reaction score
7
Habari jaman, mi ni muhtmu wa kidato cha 6 2014, bado naendelea kutafuta ushauri wa kitu cha kusoma chuo kikuu, sasa nina koz mbili ambazo kwa upande wangu nashindwa kuzpima uzito kati ya archtecture na civil naomba msaada wenu bla kujal unasoma kozi gan il nifanye maamuz sahihi
 
I think civil works /pays for developing country like Tanzania
Personally nilichaguliwa kipindi hicho.both architecture and civil but I went somewhr else for computer science t was my choice but if you give a choice again I wud go for civin & structure engineering
 
thanx but,du you min archtecture hailipi?
 
Mkuu vyote ni bora ila angalia ni course gani utaiweza, usiende tu kwa kuangalia huyu au yule kasema nini bali angalia uwezo wako wewe na mapenzi yako, ukiangalia kulipa course zote hizo zinalipa.
 
nashukuru mkuu
 
habar jaman,mi ni muhtmu wa kidato cha 6 2014,bado naendelea kutafuta ushaur wa ktu cha kusoma chuo kikuu,sasa nina koz mbili ambazo kwa upande wangu nashindwa kuzpima uzito kat ya archtecture na civil naomba msaada wenu bla kujal unasoma kozi gan il nifanye maamuz sahihi

Architecture!! Sahau Usingizi....
 
Attachments

  • 1407590061371.jpg
    1407590061371.jpg
    25.7 KB · Views: 582
nashukuru mkuu

Civil Engineer, ni moja ya course ambayo ipo wide in application than Archtecture . A well and competent civil engineer. Anaweza fanya kazi katika Building construction, Highway and Transportation Engineering , Water and Hydraulic transportation and any other Construction activities taking place in our country. Contrary to Archtecture who mainly has to deal with Building drawing... ( Unaweza ni pm kwa maelezo zaidi)
 
habar jaman,mi ni muhtmu wa kidato cha 6 2014,bado naendelea kutafuta ushaur wa ktu cha kusoma chuo kikuu,sasa nina koz mbili ambazo kwa upande wangu nashindwa kuzpima uzito kat ya archtecture na civil naomba msaada wenu bla kujal unasoma kozi gan il nifanye maamuz sahihi

Hizo zote ni nzuri kk,ila pia uzuri wake utategemeana na kichwa chako.Pia inabidi ujue unapenda nn zaidi bcz hakuna ki2 kizuri kama kufanya kitu unachopenda.
 
Civil Engineer, ni moja ya course ambayo ipo wide in application than Archtecture . A well and competent civil engineer. Anaweza fanya kazi katika Building construction, Highway and Transportation Engineering , Water and Hydraulic transportation and any other Construction activities taking place in our country. Contrary to Archtecture who mainly has to deal with Building drawing... ( Unaweza ni pm kwa maelezo zaidi)

nashukuru mkuu,bt samahan sijaelewa maana ya pm mi sio mwenyej sana huku ili nifanye hivo...
 
Hizo zote ni nzuri kk,ila pia uzuri wake utategemeana na kichwa chako.Pia inabidi ujue unapenda nn zaidi bcz hakuna ki2 kizuri kama kufanya kitu unachopenda.

mkuu ni kwel unachokisema bt mkuu nimejarbu kudadisi na kufikir sana bado sijajua nnachokipenda ndo mana natafuta taaluma itakayonivutia kati ya hizo
 
Pm ni private message ... Ntakutumia meseji utana pm inavyokuwa
 
Jaribu kuiangalia pia Electrical Engineering pia nayo inalipa vizuri.
 
hahaha,nashukuru mkuu,but kwenye electrcal,petroleum sijui,telecom na mengneyo huko siko interested na nimejua toka nasoma...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Civil engineering ni bora zaidi ukizingatia kuwa ina branches tatu. So utakuwa na uwanja mpana wa kiutendaji. Lakini architecture inabase sana kwenye design za buildings tu kitu ambacho hata civil engineer anakiweza kwa kiasi fulani. Nashauri uchague Civil but jiandae kukomaa sana.
 
owk mkuu,but wanasema kuwa civil eng anamtegemea archtect ktk field zake
 
Back
Top Bottom