Kozi ipi ina future nzuri kati ya Mechanical na Automobile Engineering

Kozi ipi ina future nzuri kati ya Mechanical na Automobile Engineering

Joh mcCain

Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habarini wana JF
nimechaguliwa NIT automobile ila ninataka kubadili nisome mechanical engineering kwa sababu siijui vizuri automobile naombeni ushauri wenu ipi kati ya hizo mbili ni nzuri na ina future poa kabisa
 
Badili tu lakini mechanical engineering nayo ndio hivyo hivyo tu ,
 
Back
Top Bottom