Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Hello wana JF .

Unakuta umesoma kozi ambazo either ulijikuta tu comby imebalance au kwa kua zilikua na priority ya mkopo lakini hazikua chaguo lako.

Baada ya kuhitimu ukaingia kitaa ukakuta things on the ground are not as you thought. Kozi uliosoma haina market.

Please share your experience about life after college.

Sent using Jamii Forums mobile app
Diploma of Music(Singeli)
 
Pharmacy.

Kozi la kipimbi na kimaskini sana i wouldnt recommend.
Embu omba msamaha! Na usomi huo umeshindwa ku link hata viduka vya dawa vi5 vikupe 250000 au 200000 kwa kuninginiza cheti?

Pharmacist huyu huyu au unazungumzia dispenser muuza dawa (certificate)?
 
Matakwa ya kufungua/anzisha "viduka vya dawa" hayahitaji viwe linked na mfamasia wala haihitaji usimamizi wa mfamasia. Na hata hiyo famasi anayosimamia, maximum ni moja kwa mfamasia na pesa yake imekua haizidi milioni moja siku hizi tofauti na zamani. Sasa ndugu yangu kwenye milioni moja kuna maisha kweli? Ushachungulia upande wa pili ukaona mambo yalivyo? Sawa mfamasia endelea kuendesha hako kasubaru kako na uvimbe kwa milioni moja unayopewa kwa kusumbuliwa na owner anaeingiza milioni sita kwa mwezi.
 
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa...... Muulize mtumishi anayeishi na 500k au chini ya hiyo anaishije......

Imebidi nicheke, shida binadamu tunashindana na sufuria iliyobeba nyama jikoni...... Wewe unachotakiwa si kushindana nayo ila ni kudeal nayo ikupatie na wewe yakwako ili ushi kama Binadamu huku ukiona wengine makatuni
 
Back
Top Bottom