Kozi fupi za Interrior design

Kozi fupi za Interrior design

2genius

Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
27
Reaction score
15
Habari wadau,

Mimi kitaaluma ni Graphic designer ambaye nimekuwa kwenye hii industry kwa muda mrefu kidogo. Katika mazingira ya kazi yangu nimekutana na fursa ambayo nataka kuichangamkia, nayo ni ya Interrior design kwani nakutana sana na hizo kazi. Najua kwa taaluma nilinayo kuhamia huku haitakuwa ni mbali sana na nachokifanya sasa, kwa hiyo natafuta mtu mwenye uzoefu ambaye anaweza kunitrain na pia chuo chochote kinachotoa kozi za Interrior design.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom