Kova umebebeshwa mzigo... huna jinsi!!

Mmmh, kila kazi ina raha na karaha. Hilo lililompata Kova ndiyo karaha ya askari kutumiwa vibaya na serikali, na hasa kwa askari wenye vimbelembele kama yeye. Mbona askali wapo wengi kwa nini atumiwe yeye? ni kwa sababu ya kimbelembele chake amependa kutumiwa. Na Mungu aliyemtoa Dr Uli mabwepande yuko kazini bado, hadi mwisho wa wabaya wake ufike. Poleni wahusika, hatuna cha kuwasidia!!! Lakini naomba niulize swali la ufahamu, hivi msemaji wa Jeshi la polisi ni yeye Kova?
 
Back
Top Bottom