Kova umebebeshwa mzigo... huna jinsi!!

Kutokana na Taarifa iliyotolewa na Polisi na Kusomwa na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam Ndg,Suleiman Kova,Inaonyesha hiyo taarifa inajitenga na ukweli! kitu hicho kilichomfanya Msomaji kubabaika na kuwa na hali ya sintojua na kutojiamini!, kwakuwa Msomaji alifahamu fika kuwa anachowaeleza wananchi siyo!! na kwakuwa yeye ndiye anapaswa kufanya hivyo basi hana budi!!Kwani ndilo jukumu lake!!!....Kwa taarifa ile hata kama siyo mtaalamu wa maswala ya saiklojia unaweza kumsoma mtu uso wake!, na ukamsoma anawaza nini! kwakuwa anaanza kuongea na sauti ikichelewa kutoka!! hiyo ni dalili dhahiri kuwa hiki nacho kiongea si sahihi!......hii ni kutokuwa na imani kwakitu anachokuwa akifanya kwa wakati ule!!......Ila na sema Watanzania hawajafikia mahali hapo siku hizi watanzania wengi niwajuzi na niwataalamu wakusoma taarifa za kiinterejensia!!!

Ila na kupa pole kwa twishwa zigo zito......!!

Tena wala haihitaji kuwa Mtaalamu wa "Polygraph" au "Voice Analysis Test" ili kutambua kuwa KOVA, alikuwa AKIDANGANYA.

Kwangu mimi nashukuru kwani kwenye hili ni zaidi ya Kamanda KOVA!! Duu, shule nzuri jamani.
 
Yani kwajinsi alivyokuwa akieleza.....ahiitaji msomi kuele kwamba kinachoelezwa ni uongo!!!Kwana mtu anaongea jambo ambalo ni very sensitive unaongea kama upo kwenye mkutano wa Polisi jamii!! zaleo niliandika Huu uzi kuhusiana na kutojiamini kwa kova wakati anaongea...kumbe na wewe uliliona hili ndiyo maana nilisema haiitaji mtu aliye bobea kwenye mambo saiklojia!!
kama mganga mwongo
 
Hivi wakuu mnakumbuka siku il Kova anatangaza issue ya Jerry Muro? Aliitangaza kwa mbwembwe na mashamsham kibao ila mwishowe akaishia kuumbuka. This time lazima hilila Ulimboka limpeleke kuzimu. kama sio yeye physically, basi nafs yake lazima iende kuzimu
 
Nilitegemea jerry muro angefungua mashtaka ya kudai fidia dhidi ya jeshi la polisi akiwemo kaka kova aliisoma ile taarifa ya jerry muro kwa mbwemwe sana .Kesi kama hii ya ya huyo jambazi mtuhumiwa wa kumtesa ulimboka zinanifanya nimkumbuke sana yule wakili walio mfungulia kesi ya kuwa na hela chafu.
 
Unajuaee, nchi hii ukitaka polisi wafanye kazi kwa kujituma aguswe bosi wao alimbokiwe, utajua kama polisi wanafundishwa kwelikweli jinsi ya kumsaka na kumdhibiti mhalifu. Haiwasumbui raia wakiteswa na hata kuuliwa. Ukiwaita umevamiwa watakuambia hatuna gari, risasi ni chache lalilialilo...dededede...wana silaha gani wavamizi? Nitajuaje mie raia? Tufundishe wote ujambazi basi ili tujue kutambua silaha. Majambazi walio wengi ni askari hapa nchini na duniani9 kote. Zaidi hapa kwa kuwa kumfukuza kazi askari sio issue. Akale wapi? Mtajiwa masikini si ni nguvu zake mwenyewe?
 
Masikini Kova unatumiwa kudanganya machana kweupe, waliomtesa na kumdhalilisha Dr.Ulimboka wanajulikana na wewe unawajua na viongozi wako wanamjua. Je unakijua kilichompata Zombe jaribu kufuatilia ukijue na Mungu akulaani kwa kutumiwa kujaribu kuficha ukweli uliowazi.
 
maskini Kamanda Kova, kabisa bado unao ujasiri wa business as usual...... Unalo na vibaraka wako
 
Dah siamini kama tanzania imegeuka toka ukweli na uwazi hadi uongo na usiri wa kipumbavu hv. Kiukweli kama kweli serikali au kova angetaka kulivalia njuga suala la Dr Ulimboka yule askari wa kwanza aliepigwa pale muhimbili siku ya kwanza angekamatwa lakini pia yule alietambuliwa na Dr Ulimboka wakati wameenda kumhoji wodini hao tu wangetosha kueleza wamehusika vp na ni nani yuko nyuma yao.
 
Mi hata TV sikuangalia nimesikiliza na kusoma magazeti tu then nilijua fika hizo ni fix tu. Nashukuru Mungu kumbe tupo weeeeeeeeengi tulioshitukia upuuzi huo na stor za kupika za Kova. Abeid yuko wapi aliemwita Uli pale? Au Dr Deo c alikuwepo wakati Uli anatekwa amemtambuaaa huyo mkenya? Mi nasubiri tu that day wakati wabongo watasema sasa IMETOSHA litakalokuwa na liwe.
 
kova anatia huruma,pole sana afande kova.

we nawe umekosa kazi ya kufanya unampa pole jambazi/fisadi wa roho za watu!! Au na wewe umo nini huvumi tu, kova ramadhani ikifika usije ukajifanya kimbelembele kufunga waislam tutaandamana tukisikia unafunga , mana unadhalilisha uislamu. Na kama ukiamua kutubu utubu kweli na matukio ya kijinga uyaache. Eti juzi mwenyewe unaongea hata nafsi ilikuwa inakusuta muogope mungu wako kova haya ni mapito tu ya dunia.
 
Kova katumiwa tu,lakini majangili yapo huko TISS,na wabishe kama hawajahusika na kumtesa dk uli, waone cha moto,watasomewa Albadir mmoja baada ya mwingine
 
Hivi wakuu mnakumbuka siku il Kova anatangaza issue ya Jerry Muro? Aliitangaza kwa mbwembwe na mashamsham kibao ila mwishowe akaishia kuumbuka. This time lazima hilila Ulimboka limpeleke kuzimu. kama sio yeye physically, basi nafs yake lazima iende kuzimu

Jerry Muro alisema kabisa Kova sio polisi.
 
ndugu zangu kwa inteligensia hii nchi imekwisha, polisi hawatumii akili, hata kudanganya wanashindwa. walitakiwa kumkata mtuhumiwa kimya kimya wamuhoji, ili awasaidie kuwakamata na wengine wliohusika. pamoja na kigogo anayedai alimtuma. ingelichukua muda kidogo, say miezi miwili then, wangejitokeza kwenye vyombo vya habari wakati ushahidi uko kamilli,kwa habari hii kova kachemsha,hili ndo tatizo la kupeana vyeo kwa ushikaji,hawa jamaa uwezo wao ni mdogo sana, wamebebeshawa majukumu makubwa,ndo maana tuna hoji uwezo wa watendaji wa idara na taasisi nyeti za umma, uwezo wao wakutenda na kufikiri ni mdogo sana, tumemsikia Tundu Lisu akihoji uwezo wa majaji bungeni, eeee!!!!!! mungu inusuru tanzania?!!!
 
Watanzania wenzangu, tuwe makini sana na baadhi ya viongozi wetu.:spy:
kuna:spy: baadhi yao ambao wanaishi na vichwa vya zamani katika dunia hii ya kisasa.
Watanzania wa leo sio wa jana, technologia imekwenda mbali hivyo hakuna tena uongo wala siri duniani. Wenzetu wamefanya kila kitu, kuna setlites zinafuatilia mambo yote yanayofanyika chini ya jua. si ajabu hata movie za mateso ya Uli zipo kwenye satlite ni kiasi cha kutumia technology ya ku-download na kujua cordnates za eneo husika unapata kila kitu. tuache maigizo polisi waende mbele zaidi kisayanzi ili ukweli ujulikane maana hofu bado imetanda.:spy:
 
Back
Top Bottom