Kova siasa nyingi!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
DCP Suleman Kova yupo ITV akizungumzia ulinzi na Usalama katika wiki ya Sensa. Anaeleza wamepenyeza askari kanzu kila sehemu, eti polisi wanavitengo maalumu wa kufuatilia wakorofi, jeshi la polisi linafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu!?
 
Back
Top Bottom