Kota Moja yaungua Moto magomeni

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,777
Reaction score
42,921
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza muda huu moto unawaka ktk hizo kotas

Baadhi ya sehemu ya jengo hilo ndio linaugua moto.

Your browser is not able to display this video.


Updates.

Mali zote zimeonekana kuteketea katikaApartment namba 0526B ndiyo sehemu ya ghofofa lililowaka moto Magomeni Kota jijini Dar Es Salaam.

Apartment hiyo ipo Block 4 wing B ghorofa ya saba inadaiwa chanzo cha moto ni mtoto kuchoma godoro.

Aidha mtoto mdogo wa miaka mitatu anahofiwa kufariki kwa kuungua na moto katika janga hilo.
Your browser is not able to display this video.
 
Mmekaa tu hapo Wake kwa waume mkirekodi ujinga mpate kupost. Mna uhakika hamna mtu nani ameingia akathibitisha?
 
Faya iko hapo mdomoni tu unakuta hadi jengo linamalizika kufungua ndiyo unawaona na gari lao ,makele na mbwembwe nyingi. Ndiyo maana wanapigwaga nawe na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…