fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Japo mie ni mwanaume but umesema kweli tupuAisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.
Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?
Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani.
Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.
Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.
Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.
Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?
Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani.
Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.
Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.
Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Wazazi hao hao ndo wamefanya huyo jamaa afike hapo na akutane na ww.Nadhani huwa Ni umasikini tulionao, tunashindwa kujenga maisha yetu kwa muda tuliokuwa nao na tunaanza kuwa sumbua watoto wetu baadae watuhudumie. Na kwasababu Ni watoto wetu hawawezi kukataa, na ndo maana umasikini hauwezi kuisha. Wazazi tuache hii tabia, tunawanyonya Sana watoto wanashindwa kufanya maendeleo kwenye nyumba zao.
Huyo mdau ana matatizo,usahihi wa mambo ukipata hela kwanza mpe mkeo kisha wazazi wako,kisha wengine.Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.
Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?
Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani.
Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.
Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.
Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Tafuta Pesa Dada. Lea Wanao kwa upendo na katika hofu ya Mungu.Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.
Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?
Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani.
Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.
Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.
Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Shukran kwa kumjibu kiungwana.‘Utaonekana una roho mbaya?’
Kwanza nikutoe hofu ni kweli una roho mbaya ya asili kwahiyo usijali kuhusu kuonekana maana hata hapa kwenye uzi wako kuna chembe chembe za karoho kabaya.
Sasa badilisha uzi wako uandike usikosee ukaolewa na mtoto wa mama.Wewe umeolewa na mtoto wa mama na watoto wa mama wote ndo tabia zao hizo m,ulipaswa kujua mtoto wa mama akikuoa ujue umeolewa na mama yake pia.
Punguza kisirani kidogo inawezakana ukatatua 50% ya matatizo uliyonayo kwenye ndoa yako.
Jackline, kama umeolewa tathmini nafasi yako (mchango wako kihali na mali) katika hiyo ndoa. Kama hujaolewa, namshauri mchumba wako (kama unaye) akujue vizuri kwanzaAisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.
Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?
Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani.
Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.
Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.
Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Teh teh teh teh....nyie raia bhana haaa haaa ahaaa😂😂Kwaiyo akikutembelea ndo alale hapo ??
Yaan wewe na mke wako mmelala kitandani alafu Mama yako naye amejikunja chini hapo, ukimshika tako mkeo bi mdashi anajifunika uso [emoji23][emoji23][emoji23]
Kosea yote usikosee mke wa kuowa
Mfano tu uyu mtoa mada wengine wazazi wetu especially mama wameishi kwa shidah sana ili tusome tufanikiwe leo unafanikiwa unataka wew uishi vzr kabla ya yeye.ujui mama kapigana Vita gani na mimi.mama mzazi anastaili raha zote kabla ya kupata raha wew mke
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mtoa mada pitia maoni ya hawa wadau.Hv unazani mama mkwe ali hustle vip na mwanae mpka kawa hvyo mnakutana ukubwani, acha mother afaidi matunda ya mwanae kwanza.
Ukikosa pesa unapoteza uanaume, usirudie kusema mi mwanaume mpaka utakapoObviously wanaume wazuri wa roho tupo ila hatuna hela. Nanyi sasa hivi mnaangalia material things kuliko ys moyoni