alphoncefrance
Member
- Sep 26, 2016
- 9
- 14
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwann tunasema kosea kujenga sio kuoa tuna maana moja tu sisi waungwana maana ukikokosea kujenga unaweza kubomoa na aitakuchukua muda murefu kujenga tena lkn ukikosea kuoa itakuchua muda mrefu kuoa tuna katika maisha na ndio maana kuna watu wakisha achana na mwanamke itamlazimu kutokuoa kwa halaka badala yake inamchukua muda kuoa tena
Kweli lkn sijui kama inawezekana agata je? Wewe ni mwanandoaKuna umuhimu wa wazazi kuwaandaa watoto kuwa wanandoa bora bila kujali jinsia..
Na hii hali ya hewa...lazima upagawe.Umenyimwa papuchi leo
hahahahNdio maana na umri wangu huu bado sijaoa, nachofanya ni kuzalisha tu baadaye nitawakusanya wanangu chini ya mbawa zangu wakae kwa umoja na amani bila ya kuwa na Mke rasmi.
Zarisha uhudumie vinginevyo Bashite atakuhusuNdio maana na umri wangu huu bado sijaoa, nachofanya ni kuzalisha tu baadaye nitawakusanya wanangu chini ya mbawa zangu wakae kwa umoja na amani bila ya kuwa na Mke rasmi.
Ndyo ujifunze sasa mkuu.Week ya mada za ndoa JF
Yani unaoa mwanamke ambae mmekutana nae kwa mwezi mmoja tu, hujachunguza na kujua tabia yake .Hivi kukosea kuoa ndio kukoje? Yaani unakuwa umeoa mtu usiyempenda au asiye na vigezo uvitakavyo au ......? Sielewi, naomba mnifafanulie hapa
Hamna alieenda kuripoti ofisi ya mkuu wa mkoa?Ndio maana na umri wangu huu bado sijaoa, nachofanya ni kuzalisha tu baadaye nitawakusanya wanangu chini ya mbawa zangu wakae kwa umoja na amani bila ya kuwa na Mke rasmi.