Kosa vyote si akili: Ulaya ina rasilimali chache ila ina akili ya kutumia za Afrika hata kwetu mikoa iliyoendelea haina rasilimali nyingi bali akili

Kosa vyote si akili: Ulaya ina rasilimali chache ila ina akili ya kutumia za Afrika hata kwetu mikoa iliyoendelea haina rasilimali nyingi bali akili

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,451
Ukiangalia mikoa iliyoendelea utaona haina rasilimali nyingi sana ila kuna akili ya maendeleo

Mifano ya mikoa ni kama Kilimanjaro, ni mkoa wenye rasilimali chache ila wamepata maendeleo kwa kutumia akili.

wameipa thamani elimu iliyowapa sifa ya kujaa katika taasisi nyeti zinazosimamia na kunufaika kwa kodi na mapato ya rasilimali za taifa,

kujitahidi kuchagua viongozi wa kwenda kupambania mgao wao wa keki ya taifa bungeni yenye fedha za kodi zilizokusanywa kutoka kwenye rasilimali

Kusambaa kwenye fursa za rasilimali mfano kampuni za utalii, migodi, misitu, n.k.
 
Ukiangalia mikoa iliyoendelea utaona haina rasilimali nyingi sana ila kuna akili ya maendeleo

Mifano ya mikoa ni kama Kilimanjaro, ni mkoa wenye rasilimali chache ila wamepata maendeleo kwa kutumia akili.

wameipa thamani elimu iliyowapa sifa ya kujaa katika taasisi nyeti zinazosimamia kodi na mapato ya rasilimali za taifa,

kujitahidi kuchagua viongozi wa kwenda kupambania keki ya taifa bungeni badala ya kugonga meza.

Kusambaa kwenye fursa za rasilimali mfano kampuni za utalii, migodi, misitu, n.k.
Hapa ni takacho kukwambia CCM wanaweza kukwambia ujatumia kiswahili kilicho sawa.We subiri ndio wanalinda Amani
20251215_133833.jpg
 
Ukienda mikoa kama Kilimanjaro na Iringa watu walijiongeza kiakili, hizo shida za maji kwao ni historia
Hakuna kizuri wanacho pokea,kuna project ilitakiwa ya ziwa Victoria,maziwa madogo,ziwa tanganyika na ziwa nyasa kuwa mfumo wake uweze kuwa mmoja ili watu wapate maji.
Wakaingia kujijengea majumba na ma V8 .Walipoulizwa wanakwambia Who are you na mna wivu.
 
Mbona Bukoba kwa wahaya ambako wana IQ kubwa kuliko makabila yote Africa Ila hamna maendeleo ya maana ?

Hii imekaaje ?

Kilimanjaro imefika hapo kwa kubebwa na Serikali na sio wanywa Mbege
 
Ukienda mikoa kama Kilimanjaro na Iringa watu walijiongeza kutumia vyanzo vya maji, hizo shida za maji kwao ni historia

Hapa dar unafikiri watu wnashindwa kufanya hivyo?

Tatizo vijana hamuelewi

Mazingira ya Iringa access ya Maji ni rahisi kwa wananchi kuweka visima vyao .

Hapa dar Kisima kuna wakati kinafika hata 20M kukichimba tu

Na hapo ni makadirio tu

So tuangalie na mazingira .
 
Mbona Bukoba kwa wahaya ambako wana IQ kubwa kuliko makabila yote Africa Ila hamna maendeleo ya maana ?

Hii imekaaje ?

Kilimanjaro imefika hapo kwa kubebwa na Serikali na sio wanywa Mbege
wana akili za darasani lakini majigambo yamemeza akili ya maendeleo, mbunge anajitapg milioni 10 ni pesa ya mboga wakati kuna hali mbaya Kagera
 
wana akili za darasani lakini majigambo yamemeza akili ya maendeleo, mbunge anajitapg milioni 10 ni pesa ya mboga wakati kuna hali mbaya Kagera

Hao jamaa wana IQ kubwa na bila wao nchi ingekuwa ishazama
 
Mbona Bukoba kwa wahaya ambako wana IQ kubwa kuliko makabila yote Africa Ila hamna maendeleo ya maana ?

Hii imekaaje ?

Kilimanjaro imefika hapo kwa kubebwa na Serikali na sio wanywa Mbege

Kilimanjaro haina Maendekeo yeyote yale kulinganisha na Ukubwa wake, ni ghosts Town sasa hivi
 
Hapa dar unafikiri watu wnashindwa kufanya hivyo?

Tatizo vijana hamuelewi

Mazingira ya Iringa access ya Maji ni rahisi kwa wananchi kuweka visima vyao .

Hapa dar Kisima kuna wakati kinafika hata 20M kukichimba tu

Na hapo ni makadirio tu

So tuangalie na mazingira .

Na kwanini wananchi wachimbe Visima wakati wanalipa Kodi?
 
Kilimanjaro haina Maendekeo yeyote yale kulinganisha na Ukubwa wake, ni ghosts Town sasa hivi
Katapike hio komoni uliyokunywa

Kilimanjaro imejitosheleza

Mkoa wenye utitiri wa shule

hospitali kubwa ya KCMC

Vyuo vipo sio lazima watu waende Dar

Huduma ya maji wanajitahidi kitaifa

Mkoa unaoongoza kwa huduma bora za kijamii kusambaa hadi vijijini (Barabara, maji, umeme, shule, n.k)

Mkoa unaonekana umepoa kwasababu hauna fursa na rasilimali nyingi lakini watu wake wameenda kunufaika mikoa ya nje, ila hawasahau kwao, wanapajenga na kila mwaka wanarudi,
 
Back
Top Bottom