Kosa moja tu, unajikuta marehemu

Kosa moja tu, unajikuta marehemu

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,447
Reaction score
8,421
DragsterBus_NiceFun_17_2231.jpg
 
Ndio maana ametegea kwa kichwa chake hatari sana
 
Mama we uhai wangu mbona hatar hio
 
Huyu ana fanya masikhara sana huyo anaweza kuvunja shingo na huo mdomo wake....Lakini nishaona kwenye Animal planet kuna hippo mmoja alikuwa anafanywa kama pet yaani alizoea watu akifungua mpaka mlango kuingia ndani,unaweza kuogelea nae na hata kumlisha kama hivo hakudhuru....Lakini mnyama mnyama tu si ndio OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:

Ooonh yes my dear mimi49 ndo maana kaitwa mnyama ati punguani kasoro unusu!!!!!
Nimewahi kuwa na outreach Ifakara huko ofisi ikiwa Hospitali ya Wilaya yaani majeraha ya Hippo huwezi chezea kama unayaona.......wenyewe wanawaita ng'ombe maji au boko!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom