mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 904
Mkuu, eleza kidogo.Unaposema Mwanamke inabidi adhibitiwe una maanisha nini hasa?.Asipelekwe shule?,asiajiliwe?,asifanye biashara?,asimiliki mali/fedha?,hastahili nafasi za Uongozi?.Fafanua tafadhali.Wanawake ni viumbe muhimu pale wanapodhibitiwa kikamilifu. Tofauti na hapo ni balaa kuliko itakavyodhaniwa.
Je nchi zilizoendelea Mwanamke amedhibitiwa?Kwenye hii post hujaona matatizo yanayoikabili Afrika mkuu au ndio kujitia huna akili?
Hujaona tatizo la vijana kukokuwa na maadili kwenye hii post?
hujaona tatizo la uvivu kwa vijana kwenye hii post?
hujaona tatizo ndoa kuvunjika kwenye hii post?
hujaona hatari ya kuvunjika kwa amani kwenye nchi za kiafrika kwenye hii posti?
unataka matatizo gani niyazungumzie?
Maana itategemea na jinsia yako.Ulichokisoma hapo kina maana hakina maana
Kwani wapo utumwani?kwa wanaume kila kitu kinawezekana.
sema mipango ya dunia haiwezi kutimia wala ya shetani bila kumkomboa mwanamke. Hapo ndipo umuhimu wa kumkomboa unapoonekana.
Baba hapingwi abadani. Labda kwa watoto wasiojua nini maana ya Baba. Watoto waliokosa malezi stahiki.
Huwezi elewa hii bila kufikiri mkuu
Mkuu jadili mada, masuala ya jinsia tumwachie UmmyMaana itategemea na jinsia yako.
Mkuu, eleza kidogo.Unaposema Mwanamke inabidi adhibitiwe una maanisha nini hasa?.Asipelekwe shule?,asiajiliwe?,asifanye biashara?,asimiliki mali/fedha?,hastahili nafasi za Uongozi?.Fafanua tafadhali.
Je nchi zilizoendelea Mwanamke amedhibitiwa?
Vipi kuhusu Elimu/shule ambayo kwa kiasi kikubwa inampa haya yote?mwanamke adhibitiwe katika masuala yafuatayo;
1. Uhuru wa kujieleza ndani na nje ya familia
2. suala la uongozi ndani na nje ya familia
3. Kutotoa maamuzi ya mwisho
4. Amiliki nusu ya mali kwa kumlinganisha na mwanaume
Hahahaahaha kila mtu apambane na familia yake...binafsi namshukuru sana mzee wangu alikua King na mbabe kweli kweli familia ilikua imenyooka barabara...ametufanya tuwe vidume kwenye nyumba zetu na alihakikisha tunafanikiwa bila kusubiri afariki turidhi mali zake hapo alifanikiwa..R I P
Tupo
Nani anakunyagolisha?Tupo
Nipo unyagoni
Hv uko duniani kweli?Nani anakunyagolisha?
NipoHv uko duniani kweli?