Kosa linalopuuzwa na Rais

Mwanamke Ameumbwa kwa Ajili ya Kutii kama Tukihitaji jamii iwafunze Adabu bac tutegemee transformation hii after 50 later
 
Sizungumzii mkubwa. Nazungumzia Baba Mkuu.
mara nyingi nipo kwenye mstari. Ni kijana makini ninayetumainiwa na walio na akili
Hukusomaga fasihi mkuu,,hapo mkubwa ni sawa na mkuu sawa na executive,,na mdogo namaanisha subordinates sasa Huyo mkuu ndo asipingwe au,,umeamka na akili gani au umekula urojo asubuh hii
 
Hukusomaga fasihi mkuu,,hapo mkubwa ni sawa na mkuu sawa na executive,,na mdogo namaanisha subordinates sasa Huyo mkuu ndo asipingwe au,,umeamka na akili gani au umekula urojo asubuh hii


Tulia, then eleza kwa ufasaha mkuu.
mkuu hupingwa na wakuu lakini sio na mdogo. Tumia intelligent na Logic
 
Kijana

Una mawaz o mazuri sana ya miaka ya 50 hadi sitini

Nadharia yako haiko practical tena,

Pia Acha kusoma saaaana agano la kale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…