Kosa linalopuuzwa na Rais

Niombee akili zinijie kabla sijafa



Mwombe Mungu yeye ndiye ajuaye.

Usisome post kwa hisia. Relax ili upate ujumbe uliokusudiwa.

unachokizungumzia ni Haki za wanawake ambazo mimi sijasema zivunjwe. Zaidi ya yote mwanamke kufunzwa adabu na heshima ni moja ya haki zake. Sasa sijui unachopigania.
 
Baba hapingwi abadani. Labda kwa watoto wasiojua nini maana ya Baba. Watoto waliokosa malezi stahiki.
Huwezi elewa hii bila kufikiri mkuu
Wanaume wwngine ni wa hovho sana kuwahi kutokea hapa duniani,,kwa kauli zako hizi ndo unataka kuheshimiwa looh

Em jifunze kwanza wew adabu ukishafuzu ndo umfundishe mkeo
 
Hakuna cha kuongozwa na mhemko hapa na hakuna mambo yako ya unafiki eti kuishi ni kwa bwana! Na mama yako aliyekuzaa humthamini! Pathetic kiumbe mdogo walahi!
Wewe ndiyo rudi kwenye google!
Kitu kidogo kama hiki niende kitabuni! Hakika dish lako limesogezwa na mvua na upepo!
Bye bye!
 
ta
Wanaume wwngine ni wa hovho sana kuwahi kutokea hapa duniani,,kwa kauli zako hizi ndo unataka kuheshimiwa looh

Em jifunze kwanza wew adabu ukishafuzu ndo umfundishe mkeo

Take a breath Mkuu.
Wapi nimekosea kwani?
Narudia, Baba hapingwi Abadani labda asiye Baba yako tofauti na hapo ni wendawazimu
 
Wanaume wwngine ni wa hovho sana kuwahi kutokea hapa duniani,,kwa kauli zako hizi ndo unataka kuheshimiwa looh

Em jifunze kwanza wew adabu ukishafuzu ndo umfundishe mkeo
Wa mirembe mtoto huyu! Pamoja na adhabu ya viboko 40 walahi!
 

Jifunze kwanza adabu ndio ukafunze na wengine

wewe mwenyewe wanisoma kwa hisia,
 


Afadhali umeaga maana ulikaribia kuonyesha upumbavu wako. Nilichokinoti kwako namna ujinga wako unavyokuendesha.
 
ta


Take a breath Mkuu.
Wapi nimekosea kwani?
Narudia, Baba hapingwi Abadani labda asiye Baba yako tofauti na hapo ni wendawazimu
Mbona povu sasa wala usitarajie hayo karne ya sasa utapingwa popote unapokwenda kinyume utapingwa na watoto hadi wakubwa utapingwa ndani na nje pia.
 
Andiko MUJAARABU hili
 
Hahaha umerudi kwenye mstari sasa ee hapo tutaenda sawa,, zamani ndo waliishi kwa kusema wakubwa hawakosei ila sasa mkubwa na mdogo wote wanakosea


Sizungumzii mkubwa. Nazungumzia Baba Mkuu.
mara nyingi nipo kwenye mstari. Ni kijana makini ninayetumainiwa na walio na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…