Kosa linalopuuzwa na Rais

Unambwembwe Sana we jamaaa


hapana mkuu, nazungumzia jambo kubwa ambalo ndilo kitovu cha usalama wa ulimwengu wetu. Ulimwengu pasipo mwanamke hakuna sheria. Bali mwanamke akiwapo sheria lazima zitungwe ndipo suala la utiifu linapojitokeza.
 
Unatoka mzima akili zako umesoma mpaka chuo kikuu na kazi yako nzuri, unaanza kupakuliwa nyuma na wanaume wenzako, ukiwa na akili zako timamu. Then mama yako alaumiwe kwa kipi... Adabu hamna nyie wenyewe wanaume mjirekebishe


Hujui unachokisema hivyo hupaswi kulaumiwa. Pia Hujui mwanamke ni nani? hivyo sipaswi kukulaumu zaidi ya kukupongeza kwa mchango wako. Karibu sana Mkuu
 
Women and children are not things to be moulded but real people to be unfolded..........Article yako haina mashiko hata kidogo, in fact inaonyesha vyenye uko na akili finyu. Kwa mtazamo wako huo haufai hata kuwa monitor darasani. U need to be trained well on GENDER TRANSFORMATIVE APPROACH utabadilika mtazamo.
You could have thought about ya momma before writting this nonsense
[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
Utakapokufa ndipo utakapo amka. huwezi elewa mambo haya kwa akili ndogo.
Suala Frustration umelipatia wapi?
Watu wa aina yako ndio waliosababisha mwanamke aonekane si kitu, kwa ubinafsi wenu,

Ubinafsi huo ulipelekea kudumaza akili za wanawake, Mwanamke anapokuwa mbele ya mwanaume ajione ni MTU dhaifu asiweza ama kujua lolote, mlifanikiwa sana

Lkn mlisahau kuwa nyakati zinaenda na mambo yanadilika kuna siku huyu MTU atajielewa, mlisahau kutambua hilo,

Wewe huna adabu kwa mama zako na Dada zako na kwa dunia, unotakiwa kuwafunza adabu ni wanao,

Ndio maana nalikwambia ukajambe mbele kwani nilihisi umevimbiwa cha jana
 
Mmmmmmhhh
 
kwa wanaume kila kitu kinawezekana.
sema mipango ya dunia haiwezi kutimia wala ya shetani bila kumkomboa mwanamke. Hapo ndipo umuhimu wa kumkomboa unapoonekana.
Unamkomboa kutokea wapi? Do you know exactly the meaning and purpose for a woman?

Hell naw.....wide up ya understanding nigger or just shut up and drive
 
Unamkomboa kutokea wapi? Do you know exactly the meaning and purpose for a woman?

Hell naw.....wide up ya understanding nigger or just shut up and drive


Unaemuuliza hawezi jibu maswali kama hayo. Kanuni ya uwili ndio ijibu maswali yako. Kila la kheri katika kufuatilia hilo.
 


Acha pupa dada, tulia uelewe. Mwanamke kufunzwa adabu, heshima na utiifu ni moja ya haki zake.
Jiamini na si kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…