Kosa langu ni lipi?

Eeeh heri kweli kweli! ushampata mwingine ama bado unataka kuachana na ex alokwisha kukuacha!??

ah babu we cjaachika mie ndo nlisonga mbele..we mentor utaanzaje kumuulizia ex wako kwa rafiki zako
 
Hao Rafiki zako wana umri gani?????Wanawake bwana huwa hawapendi kufikiria!!!! (ingawa sio wote jamani)
 
ah babu we cjaachika mie ndo nlisonga mbele..we mentor utaanzaje kumuulizia ex wako kwa rafiki zako

A a kwa maelezo yako ni kama uliachika while in real sense u should b proud of urself uliondoka! Kumuulizia ex kwa marafiki mimi kama mwanaume ni easy sana kama najua bado ananifeel na kwa wakati huo nina nyege...tell me my dia, ddnt u feel good ulipoambiwa na marafiki zake kuwa ur ex anakuulizia? cmon, he jus being a smartass na usipoangalia anakugegeda bila stress!!!!
 
Mbupu imekukolea dada.........kama asali nitamu rudi, usijishaue.......ulivyoandika inasema kila kitu.........mtafute huyo kijana bado unampenda.
 
kama kuachwa ndo kwa mapenzi yale basi wanaume nawapa mia kwa kuyajua maigizo

Hapana wanaume ukiwapa mia utaka mekosea,maana kati ya wanawake na wanaume waigizaji wazuri ni wanawake huyo wako ni wa aina yake mama au wewe ulimpenda sana ukawa blind haukuona ujio wa tukio
 
hehehehe we mentor ww mi sio maji mara moja yani ex aje aanze kugegeda aliwekeza hapa? Shida co kuuliziwa tu why shud u want to knw abt my current guy
 
Mbupu imekukolea dada.........kama asali nitamu rudi, usijishaue.......ulivyoandika inasema kila kitu.........mtafute huyo kijana bado unampenda.

natamani ningejua jinsia yako..km ni mwanaume wakuitaje zaidi ya failure kwa kukaa na mwanamke hadi mnaachana hujamvua pichu..na km ni mwanamke..umesharudi kutafuna ma mbupu mangapi uliyoyaacha kitambo?
 
Hapana wanaume ukiwapa mia utaka mekosea,maana kati ya wanawake na wanaume waigizaji wazuri ni wanawake huyo wako ni wa aina yake mama au wewe ulimpenda sana ukawa blind haukuona ujio wa tukio

nimeshaeleza vya kutosha kuhusu kuwa ready on set..wanawake wanaojipachika miamia na kufanya investment kana kwamba wameshaolewa ndo wanakonda hadi meno..
 
anaongea na mwanamke wake afu we upo apo na kukaa kimya////
you sound like a side chick mbona...so hujaachwa,,,umewekwa pending ,,were you belong i guess:faint2:
 
we ulitaka askie utamuuu,,,rahaaaaaaaaa utamu,,raha,,utamu////HAMIJEYI SOUND:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…