Chotti de Alba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 348
- 106
- Thread starter
-
- #21
hahahaa..we ndo muhusika nn?nikikurudia naondoka na kibabu chakoAkili za mbayuwayu nazoo..! sasa fanya hivi mkuu we mrudie halafu siku akirudia kukuvunjia heshima ndo umweleze afu tambaa zako hapo utakuwa umeridhika naamini
Ungeziba macho na wewe ujifanye mbumbumbu upige mpunga angalau utoke kivyakovyakohuwezi amini nkikwambia cjawahi kuwaza hivyo..ila yule punda mtu wala hata hakuona hilo
ndivo walivo hao mbuzi! sasa unamuwazia nini hadi unamuandikia thread humu umemmiss?huwezi amini nkikwambia cjawahi kuwaza hivyo..ila yule punda mtu wala hata hakuona hilo
There is this guy i once called a boyfriend..yaani it was hectic coz i tried to be that good girlfriend kumuheshimu and all that ila at the end ni vituko! Mi nkaona isiwe tabu tho at first nlijitahidi nivumilie but sitasahau siku yule kiumbe anaongea na mwanamke wake in my presence nikasema hata kama ni kutulia hapa nimechemka mwenyewe jamani si kuvunjiana heshima huku!tena anamwambia ni jinsi gani alivo na nyege. Uwiii mwanamke nikajikaza mie ila habari ndo ikaishia hapo sijataka mawasiliano ya aina yoyote ila rafiki zangu wanashauri haikuwa vyema kumuacha bila kumwambia kosa ndo najiuliza hivi kweli katika upuuzi kama huo mtu mzima na ndevu zake asijue kosa lake?
soma lugha unayoielewa,tumia lugha moja ili ueleweke
ndivo walivo hao mbuzi! sasa unamuwazia nini hadi unamuandikia thread humu umemmiss?
walioielewa wamecomment.Historia yako ngumu kweli sijaelewa kabza
Ungeziba macho na wewe ujifanye mbumbumbu upige mpunga angalau utoke kivyakovyako
kwani nyege ni ugonjwa?
huwezi amini nkikwambia cjawahi kuwaza hivyo..ila yule punda mtu wala hata hakuona hilo
Did i say it is?
ndivo walivo hao mbuzi! sasa unamuwazia nini hadi unamuandikia thread humu umemmiss?
unataka tukushauri kitu gani kwani bado unampenda!!!
Did i say it is?