Kosa langu ni lipi?


yeye alikuwa amekwishakuacha kabla ya ile siku aliyokuwa akiongea na mpenzi wake mwingine na kumueleza ni jinsi gani ana genye, kwa kifupi wewe ndiyo umeachwa bila ya kuambiwa sababu.
 
Hebu eleza vizur, alikuwa bf wako, then siku uko nae akaongea na msichana mwingine na kumwambia ana ny.ege? Mahusiano yako na huyo bf yalikuwaje?

Unadhan hata ukimwambia una achana nae ataumia? Mbna ameweza kupiga simu na kumtamkia mwingne kuwa ana nyege na wewe ukiwepo?

Hayo ndo madhara ya mapenzi ya kitamthilia!
 
kumbe mlishaachana toka zamani ....
 
Yaani hapo uliachwagwa kitambo kirefu,akaona kama hauelewi yani umemganda kama ruba akaona atamke aliyotamka...hapo ujitoe tu mpnz fanya yako mama
Af hiyo party ya chini ya kudanganywa mahusiano ya nyuma usiwage unauliza maana unatafutwa kudanganywa na kutafutia watu sababu
 
Pole kwa yaliyokupata mjukuu wangu. umekutana na vidaka wa hamu wasio na haya. Nashukuru tu kuwa imetokea mara moja na usikubali tena moyo wako kuyumbishwa na mapenzi uchwara.
 
Asanteni kwa ushauri na comments ila kwa amani nliyonayo sasa cjutii maamuzi yangu ya kutokujitoa mzima mzma..av moved on n thts enough
 
kama kuachwa ndo kwa mapenzi yale basi wanaume nawapa mia kwa kuyajua maigizo
 
Pole kwa yaliyokupata mjukuu wangu. umekutana na vidaka wa hamu wasio na haya. Nashukuru tu kuwa imetokea mara moja na usikubali tena moyo wako kuyumbishwa na mapenzi uchwara.
asante jamani babu..mjukuu wako nimejifunza mengi.kumbe kumuonyesha mwanaume unamthamini anakupanda hadi kwenye ncha ya nwele
 

pole sana bana, inaonekana una roho ngumu!
 
The only thing i find interesting in a man is his wallet
 
Akili za mbayuwayu nazoo..! sasa fanya hivi mkuu we mrudie halafu siku akirudia kukuvunjia heshima ndo umweleze afu tambaa zako hapo utakuwa umeridhika naamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…