Kosa langu liko wapi hapa?

Kosa langu liko wapi hapa?

Bila kupepesa macho ni kuwa achana na mke wa mtu,hayo yote ya amani na furaha hata wakat wanaanza na huyo jamaa vilikuwepo ndo maana hadi wakazaa nakutambulishana...achana nae kuanzia sasa
 
Anyway kuna vitu ukiviangalia kwa undani kuna shida. Kwamba hii sms moja tu uliyoshawishika kuisoma ilete picha ngumu kiasi hiki? Huwezi kukaa na mke mbali bila kumjulia hali hasa akiwa ugenini! Napata shaka km kweli hukuwahi kujua kabla ama hukuwahi kuhisi km kuna mtu mwingine. Hapa kuna shida, maana kwa maelezo yako we pia ni mgeni huko? How come, you are so easy to trust a person? Uko na shida kubwa...
Mpigie mume wake umwambie unakula mkewe, nadhani atakushauri cha kufanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom